Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Queen woo imenishinda episode ya kwanza tu sijui sababu ya mwanga na romance zilizovuka mipaka

Naona saiv Seoul busters inabamba ngoja niende nayo taratibu baada ya my sweet mobster
 
Queen woo imenishinda episode ya kwanza tu sijui sababu ya mwanga na romance zilizovuka mipaka

Naona saiv Seoul busters inabamba ngoja niende nayo taratibu baada ya my sweet mobster
Usiimalizie Queen Woo mpaka itakapo achiwa part 2
Ilipoishia utatamani uone muendlezo wake.
 
Mbona imeisha kama inaendelea?
Hawajaconfirm kama kuna season 2.

Ukiangalia mwanzoni kabisa ilianza Queen anapigana vita na kushinda. Pia mwishoni inaisha Queen ameshika madaraka na wanapigania madaraka na yule prince mtata. Ukichekecha utaelewa mwanzo ndio mwisho.
 
Jeong-Nyeon-tp1.jpg

Hii series nilianza kuitazama kama masihara hivi ila imenifanya kila weekend niwe naisubiri kwa hamu.

Jeongnyeon: The star is born.
 
Back
Top Bottom