Bob swagger
Member
- Jan 16, 2020
- 48
- 56
Hii sio nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio nzuri sana
Usiimalizie Queen Woo mpaka itakapo achiwa part 2Queen woo imenishinda episode ya kwanza tu sijui sababu ya mwanga na romance zilizovuka mipaka
Naona saiv Seoul busters inabamba ngoja niende nayo taratibu baada ya my sweet mobster
Season 2 haitokuwepo Queen Woo ndiyo imeisha tayari.Usiimalizie Queen Woo mpaka itakapo achiwa part 2
Ilipoishia utatamani uone muendlezo wake.
Mbona imeisha kama inaendelea?Season 2 haitokuwepo Queen Woo ndiyo imeisha tayari.
Mbona imeisha kama inaendelea?
Hawajaconfirm kama kuna season 2.Mbona imeisha kama inaendelea?
🤣🤣🤣🤣🤣Haaa mzee wa taste yaani kumbe umeiangalia na haujalalamika. Kijana kumbe kuna vitu unavipenda pia
Mbona adui hajafaHawajaconfirm kama kuna season 2.
Ukiangalia mwanzoni kabisa ilianza Queen anapigana vita na kushinda. Pia mwishoni inaisha Queen ameshika madaraka na wanapigania madaraka na yule prince mtata. Ukichekecha utaelewa mwanzo ndio mwisho.
🤣🤣🤣🤣 kumbe Numbisa na wewe upendi utotoSeoul busters utoto mwingi
Nilikuwa naupenda huo utoto mwingi kuliko kichaaSeoul busters utoto mwingi
The fiery priest drama, season 2 imerudi kuanzia jana.
What next, Vagabond?
Sijui
Hivi hiyo drama ni kali?The fiery priest drama, season 2 imerudi kuanzia jana.
What next, Vagabond?
Sijui
Nimekuweka katika kundi la popo cause kwa sababu una sura ya mnyama na ndege.Hivi hiyo drama ni kali?
Sawa kijanaNimekuweka katika kundi la popo cause kwa sababu una sura ya mnyama na ndege.
Kwangu ilikuwa ni nzuri,
Kwa wakorea walio wengi ilikuwa ni nzuri,
Sijui kiupande wako utaionaje.
Ijaribu.
Song Jae Rim amefariki taarifa zimetoka muda huu