Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni bro code no ngapi? 😅😅👏👏👏Ok nitahitaji hiyo ya 35k ila mimi sina utaalamu nazo so nitakupa jukumu wewe kuchagua ipi bomba, maana mimi sio mtumiaji wa hizo vitu ila kuna msela anaoa na anapenda sana manukato nataka akanukie huko honeymoon
Hakukuwa na sababu ya msingi ya kuufuta labda chuki.uzi wameurudisha
mtu poa sana ...Yeah Melo alincheki PM tukayajenga
Boss uko vizuri sana kwenye marketing,nitashangaa sana iwapo utakuwa unafanya maisha kwa carrier tofauti aiseee.Hello brothers n’ sisters!
Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.
Perfumes hizi ni Originally from South Africa.Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De Parfum ina most oil content tofauti na De cologne na zile De Toilette.
Bei ni rafiki sababu mzigo ni wangu mwenyewe. Za 100mils nauza Tshs. 35,000 na Za 50mils nauza Tshs. 25,000
View attachment 1994249
Kwa wale wanaopenda accent ya Oud hasa waislamu hii iko bomba sana! Truworths Man!
View attachment 1994248
Hii hapa ni yenye woody and spicy accent iko kizungu zaidi. Truworths Modern Man! Ina harufu laini sana toka isioumiza toka mwanzo na last note yake ni murua sana.
View attachment 1994236
Hii ni strong kidogo inaanza na ukali japo harufu yake sio ya kukera! Baada ya mda kidogo inahamia kwenye note nyingine tulivu! Hii inawafaa wale wanaopenda perfum za ku catch attention haraka.
View attachment 1994238
Hii Uzzi Signature Premium iko na Sharp Unique scent ya kibosi sana. Hii harufu wananukia sana matajiri wale wanaoingiaga Casino za katikati ya mji na wakurugenzi wa makampuni binafsi na mashirika makubwa ya serikali! If you want a finest outstanding aroma this is the deal!
View attachment 1994250This one is for the Ladies, kama unataka kunukia in the finest form and very attractive this is the way to go. Hii perfume iko na very amazing notes that will make you stand out on that dinner date ,,😻 so feminine and sexy! You don’t wanna miss the fun in that romantic setting.
Hongera mkuu,kila kitu kimejionyesha kwenye tangazo lako.Asante mkuu, thats my proffession actually😅!
Tupe mawasiliano mkuu...Hello brothers n’ sisters!
Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.
Perfumes hizi ni Originally from South Africa.Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De Parfum ina most oil content tofauti na De cologne na zile De Toilette.
Bei ni rafiki sababu mzigo ni wangu mwenyewe. Za 100mils nauza Tshs. 35,000 na Za 50mils nauza Tshs. 25,000
View attachment 1994249
Kwa wale wanaopenda accent ya Oud hasa waislamu hii iko bomba sana! Truworths Man!
View attachment 1994248
Hii hapa ni yenye woody and spicy accent iko kizungu zaidi. Truworths Modern Man! Ina harufu laini sana toka isioumiza toka mwanzo na last note yake ni murua sana.
View attachment 1994236
Hii ni strong kidogo inaanza na ukali japo harufu yake sio ya kukera! Baada ya mda kidogo inahamia kwenye note nyingine tulivu! Hii inawafaa wale wanaopenda perfum za ku catch attention haraka.
View attachment 1994238
Hii Uzzi Signature Premium iko na Sharp Unique scent ya kibosi sana. Hii harufu wananukia sana matajiri wale wanaoingiaga Casino za katikati ya mji na wakurugenzi wa makampuni binafsi na mashirika makubwa ya serikali! If you want a finest outstanding aroma this is the deal!
View attachment 1994250This one is for the Ladies, kama unataka kunukia in the finest form and very attractive this is the way to go. Hii perfume iko na very amazing notes that will make you stand out on that dinner date ,,[emoji76] so feminine and sexy! You don’t wanna miss the fun in that romantic setting.
Ngoja tufanye muamalaHuwezi shindwa mkuu
Kwahiyo jirani ndio kusema sisi wengine umetutenga[emoji2297][emoji2297]Niko Dar es Salaam, usambazaji ni kwa maeneo yote ya mjini hapa
Khaah! Kumbe hujanielewa!Wa mkoani mtatumiwa kwa utaratibu mzuri pia!