Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Bablai mkoani unatuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hio ya meneja makampuni ni funga kazi 😄 watu wataanza kukupiga mizinga ghafla maana unanukia kitajiri...lol!Maelezo yanajitosheleza kabisa, na mie nahitaji kunukia kama Meneja wa kampuni binafsi[emoji1787], nipe code tafadhali.
Sema mimi uturi sina utaalam nao sana. Labda uniambie wewe upi utanifaa babali ila isije kuwa ni mbuchuchuNatuma Mangi! Sema ipi umependa nikutumie
Ilo lakizungu likojeHahahah huko labda nikutumie tu mkuu!
Hilo la kibabe sana mkuu! Harufu yake ni tamu sana mkuu! Kama sio mpenzi wa harufu kali utaipenda sana inatulia sana mwilini. Af harufu zake sio common kama zile clones za Msimbazi. Hivyo utajikuta una harufu ya kipeke yako tu aidha ofisini au unapojumuika na wenzio😄 kishua sana!Ilo lakizungu likoje
Poa bablai ngoja tutayajenga week hii.Hapo nakutia kwenye uzzi premium! Itakufaa zaidi ama Modern Man
Swala lakuingia mitini vp mkuuHilo la kibabe sana mkuu! Harufu yake ni tamu sana mkuu! Kama sio mpenzi wa harufu kali utaipenda sana inatulia sana mwilini.
Unaweza ukaamsha popo na hela iyo nimeminya ya kiwanja mekuMitini kivipi mkali? Sijakusoma
huna zile ocean's pafyum'sHello brothers n’ sisters!
Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.
Perfumes hizi ni Originally from South Africa.Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De Parfum ina most oil content tofauti na De cologne na zile De Toilette.
Bei ni rafiki sababu mzigo ni wangu mwenyewe. Za 100mils nauza Tshs. 35,000 na Za 50mils nauza Tshs. 25,000
View attachment 1994249
Kwa wale wanaopenda accent ya Oud hasa waislamu hii iko bomba sana! Truworths Man!
View attachment 1994248
Hii hapa ni yenye woody and spicy accent iko kizungu zaidi. Truworths Modern Man! Ina harufu laini sana toka isioumiza toka mwanzo na last note yake ni murua sana.
View attachment 1994236
Hii ni strong kidogo inaanza na ukali japo harufu yake sio ya kukera! Baada ya mda kidogo inahamia kwenye note nyingine tulivu! Hii inawafaa wale wanaopenda perfum za ku catch attention haraka.
View attachment 1994238
Hii Uzzi Signature Premium iko na Sharp Unique scent ya kibosi sana. Hii harufu wananukia sana matajiri wale wanaoingiaga Casino za katikati ya mji na wakurugenzi wa makampuni binafsi na mashirika makubwa ya serikali! If you want a finest outstanding aroma this is the deal!
View attachment 1994250This one is for the Ladies, kama unataka kunukia in the finest form and very attractive this is the way to go. Hii perfume iko na very amazing notes that will make you stand out on that dinner date ,,[emoji76] so feminine and sexy! You don’t wanna miss the fun in that romantic setting.