INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

Ok nitahitaji hiyo ya 35k ila mimi sina utaalamu nazo so nitakupa jukumu wewe kuchagua ipi bomba, maana mimi sio mtumiaji wa hizo vitu ila kuna msela anaoa na anapenda sana manukato nataka akanukie huko honeymoon
Hii ni bro code no ngapi? 😅😅👏👏👏
 
Boss uko vizuri sana kwenye marketing,nitashangaa sana iwapo utakuwa unafanya maisha kwa carrier tofauti aiseee.
 
Tupe mawasiliano mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…