INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

Maelezo yanajitosheleza kabisa, na mie nahitaji kunukia kama Meneja wa kampuni binafsi[emoji1787], nipe code tafadhali.
Hahahaha hio ya meneja makampuni ni funga kazi 😄 watu wataanza kukupiga mizinga ghafla maana unanukia kitajiri...lol!

Uko wapi nikuletee mkuu?
 
Ilo lakizungu likoje
Hilo la kibabe sana mkuu! Harufu yake ni tamu sana mkuu! Kama sio mpenzi wa harufu kali utaipenda sana inatulia sana mwilini. Af harufu zake sio common kama zile clones za Msimbazi. Hivyo utajikuta una harufu ya kipeke yako tu aidha ofisini au unapojumuika na wenzio😄 kishua sana!
 
huna zile ocean's pafyum's
 
kwa atakae nisaidia kuipata hii pafyum ntashukuru sana niliiagizaga mwaka jana dubai ila nmezunguka kkoo yote nmeikosa inaitwa KURG kama unayo hata sasa hivi naifata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…