Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

U
Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!!

Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!!

Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au sita, na nimtu mkubwa sana kwenye ulimwengu wa uslam duniani, sitawatajia yeye ni nan wala sitapost voice notes zake kwa sababu lugha tunayozungumza mm na yeye ina weza isiwe rafiki sana kwa baadhi ya watu,hasa wafuasi wa Elen G white, Kwa Mujibu wa Wake Elen G. White ni muandishi tu na yale ni maoni yake na sio Ufunuo wa Roho (Nabii wa Uongo)
1. Unabii Usiotimia - Alitabiri Yesu atarudi kabla ya 1851(Early Writings, uk. 58), lakini haikutokea. Roho wa Mungu anakosea?
2. Alisema Jerusalemu haitajengwa tena (Early Writings, uk. 75), lakini leo iko hai.

3.Mafundisho Yanayopingana na Biblia
- Damu ya Yesu haitoshi kwa msamaha(Early Writings, uk. 260) ↔ Luka 16:19-31
Yesu alishindwa na mawazo ya Shetani (Spiritual Gifts, Vol. 1, uk. 25) ↔ Yohana 16:33

4.Kudai Ufunuo Mpya Baada ya Biblia
- Alisema Mungu alimpa ujumbe wa mwisho (Testimonies, Vol. 5, uk. 67), ↔
Ufunuo 22:18-19 inakataza kuongeza Neno la Mungu.

Jitahidi sana utakapo leta majibu ya maswali ya leo usilete na mihemko yako, mapokeo, nk jitahidi majibu yako yawe strict Biblical na yawe based on English Bible au Arabic maana ndio lugha anazojua, pia jitahidi sana majibu yako yawe na ushahidi kibiblia na sio vinginevyo,

Sijui wenzangu kama dini ya utajiti ni dhambi bado waumini ila mm nimeasi huko kitambo, so mwarabu kaniishu an open challenge ya maswali matano na a reward ya 10 million Kuwait Dinar roughly hizi ni zaidi ya Billion 70,

Long story shot: Last month alitamani kubatizwa na Alifly kwenda sijui wapi ila waligoma kumbatiza kwa kigezo cha hawamjui na wake zake wanne wandoa alionao, alihoji yafuatayo:
1. Mwanzo mpaka ufunuo ni wapi Mungu aliagiza awena mke mmoja? 2 Samweli 12:8
[8]nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
And I gave thee thy master's house, and thy master's wives into thy bosom, and gave thee the house of Israel and of Judah; and if that had been too little, I would moreover have given unto thee such and such things.
Hadithi ya Ibrahim na sara, na Hagai wote tunaijua, Hadithi ya Israel(Yakobo) sio hadithi ngeni pia maskioni kwa wengi wetu pia?
Anaelewa kuwa maaskofu na mashemasi ndio wanaoagizwa kuwa na mke mmoja1 Timotheo 3:2
[2]Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach; yeye hawazi kuwa na hataki kuwa, So andiko la yeye kuwa lazima awe na mke mmoja Mungu aliagiza wapi?
2 Mungu anachukia kuachana
Malaki 2:16
[16]Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana.
For the LORD, the God of Israel, saith that he hateth putting away: for one covereth violence with his garment, saith the LORD of hosts: therefore take heed to your spirit, that ye deal not treacherously.
(Vipi kuhusu wake atrlekeze na watoto na familia zake?)
3.The guy anakunywa Wine na baraza husika walimkondem kuwa mlevi!!
SO Swali lake ni:biblia ina mafungu 208 ya kuhusu wine na hakuna moja la marufuku, Kwa mujibu wa biblia Yesu pia alitengeneza na kunywa Wine Luka 7:34
[34]Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi.
The Son of man is come eating and drinking; and ye say, Behold a gluttonous man, and a winebibber, a friend of publicans and sinners!
Turudi harusini Kana Yohana 2:9
[9]Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi,
When the ruler of the feast had tasted the water that was made wine, and knew not whence it was: (but the servants which drew the water knew😉 the governor of the feast called the bridegroom,
Habari ya Paul akimwambia Timotheo 1 Timotheo 5:23
[23]Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Drink no longer water, but use a little wine for thy stomach's sake and thine often infirmities.
(Japo Mswahili mmoja alitudanganya hii inayozungumzwa ni dawa kitu ambacho ni tofauti sana na hoja ya matendo ya mitume:Matendo ya Mitume 2:13
[13]Wengine walidhihaki, wakisema, wamelewa kwa mvinyo mpya.
Others mocking said, These men are full of new wine. (Technically Hulewi dawa) Mwanzo 19, na 27 A blessing Mwanzo 27:28
[28]Mungu na akupe ya umande wa mbingu,
Na ya manono ya nchi,
Na wingi wa nafaka na mvinyo.
Therefore God give thee of the dew of heaven, and the fatness of the earth, and plenty of corn and wine: zitakuwa support kuwa hoja ya mvinyo ni dawa Sio kweli)

3.Habari ya pete na Jewelries za wake zake
Biblia ina usahidi mwingi wa habari ya watu kuvishana pete Tuanzie kwenye ndoa ya Isaka kwa Rebecca : Mwanzo 24:22
[22]Ikawa, ngamia walipokwisha kunywa, yule mtu akatwaa pete ya dhahabu, uzani wake ulikuwa nusu shekeli, na vikuku viwili kwa mikono yake, uzani wake ulikuwa shekeli kumi za dhahabu,
And it came to pass, as the camels had done drinking, that the man took a golden earring of half a shekel weight, and two bracelets for her hands of ten shekels weight of gold;
Hereni: Kutoka 32:3
[3]Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
And all the people brake off the golden earrings which were in their ears, and brought them unto Aaron.
Ezekieli 16:12
[12]Nikatia hazama puani mwako, na pete masikioni mwako, na taji nzuri juu ya kichwa chako.
And I put a jewel on thy forehead, and earrings in thine ears, and a beautiful crown upon thine head.
The list grows Luka 15 mwana mpotevu we both know the story, na hata mfano wa maonyo thidi ya upendeleo Yakobo 2:2
[2]Maana akiingia katika sinagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri; kisha akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu;
For if there come unto your assembly a man with a gold ring, in goodly apparel, and there come in also a poor man in vile raiment;
Habari ya mikufu mwanzo 16 na Ezekiel 41 inaweza eleza hichi.
Swali la msingi Andiko la mtu asivike pete mkewe au Mchumba harusini na asivae jewels zake Mungu alikataza kitabu gani?

Lastly ni hoja ya Muziki kuimba na kufurahi kwa Mungu kwa mujibu wa Biblia: 2 Samweli 6:5
[5]Daudi na nyumba yote ya Israeli wakacheza mbele za BWANA kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa kayamba, na kwa matoazi.
And David and all the house of Israel played before the LORD on all manner of instruments made of fir wood, even on harps, and on psalteries, and on timbrels, and on cornets, and on cymbals.
1 Mambo ya Nyakati 16:42
[42]na pamoja nao Hemani na Yeduthuni wenye baragumu na matoazi, kwa hao watakaovumisha sauti, na vinanda kwa ajili ya hizo nyimbo za Mungu; na hao wana wa Yeduthuni wawepo mlangoni.
And with them Heman and Jeduthun with trumpets and cymbals for those that should make a sound, and with musical instruments of God. And the sons of Jeduthun were porters.
Hakuishia hapo kumbe kuna na nyimbo za harusi Zaburi 78:63
[63]Moto ukawala vijana wao,
Wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi,
The fire consumed their young men; and their maidens were not given to marriage.
Pia alihoji hadithi ya Bi Harusi kutokupambwa lilitoka andiko gani Kwa Mujibu wa Bblia Luka alifananisha Yerusalemu mpya Kama Bi harusi aliepambwa ka ajili ya Mumewe..

Wapendwa Take your Time lete majibu yenye msingi na toka kwenye Biblia mtu huyu anaijua biblia nje ndani jitahidi majibu yawe yamenyooka na yalingane na Mungu wa upendo anaehubiriwa na yesu kwenye Agano la Biblia sio yule wenu na mafarisayo wa Sheria,
Sabato njema
Jibu .....ukisikia kitu kinaitwa 👉 DHEHEBU jua ilo ni hekalu mojawapo ya mahekalu ya shetani ....dalili moja wapo kuwa upochini ya madhehebu ni kusajiliwa na kuwa muhumini
 
HIVI UONGO KWENU NI SIFA KUU?

Nianze na huu uzushi ,kuhusu Unabii wa Kurudi kwa Yesu kabla ya 1851

Nukuu uliyoleta ni hii 👇

Huu ULIOFANYA ni UZUSHI ,nukuu halisia ni hii 👇

Muktadha ni kwamba EGW hakuwa akitabiri tarehe kamili ya kurudi kwa Yesu, bali alihimiza wafuasi kuwa macho na tayari kiroho. Biblia pia inathibitisha hilo

​

Uzushi wa pili uliyoleta ,unasema alisema Jerusalem haitajengwa tena​

​

Nukuu uliyoleta wewe ,hapa Tena umefanya Uzushi

“Alisema Jerusalemu haitajengwa tena (Early Writings, uk. 75)”​

nukuu halisia ni hii👇👇

EGW alikuwa akionyesha ufunuo wa kiroho wa Kanisa na watu wa Mungu, si mji wa kihistoria.,Alizungumzia Yerusalemu mpya ya mbinguni ya Kiroho, sio hiyo ya Netanyau,

Biblia pia inathibitisha👇

Hoja nyingine uliyoibua ya uzushi ni unasema anafundisha Damu ya Yesu na Ushindi wa Kristo kuwa haitoshi​

Nukuu uliyoleta 👇

UONGO na UPOTOSHAJI mwingine huu,, nukuu halisia ni hii👇👇

EGW anathibitisha ushindi wa Yesu juu ya Shetani, si kushindwa kama ulivyoongopa .

Biblia pia inasema👇

​

Uzushi mwingine unasema ,alijitangazia ,Ufunuo Mpya Baada ya Biblia​

Nukuu ulizoleta 👇👇

Acha UPOTOSHAJI, nukuu halisia ni hii👇👇

EGW hakutengeneza maandiko mapya, bali alieleza ufasiri wa Biblia kwa zama zake.

Biblia inathibitisha hilo👇👇

Halafu mwisho ukaibua hoja ya Sabato​

Sabato hajaleta EGW ,Watunza Sabato wapo toka edeni, Watunza Sabato wa AWALI kabisa wapo Soma historia acha kula nguruwe tu,

Nenda hapo historia ,penye Ukristo wa awali ulioletwa na Mtume Mathayo na Philipo ,kajifunze

EGW alisema 👇 👇

Ndivyo na maandiko yanafundisha hivo

  • Yesu na Mitume wote walitunza Sabato (Luke 4:16, Acts 13:14).
  • Yesu alionyesha Sabato itakuwepo hata kizazi cha mwisho kwenye sekeseke la mpinga kristo, alizungumzia tukio la mbele 70 AD kuvunjwa kwa Hekalu na siku za mwisho (Matthew 12:11-12).
JE YESU HAKUJUA KUWA SABATO IMEFUTWA HADI AWAPE TAHADHARI WAYAHUDI KUWA 70AD au miaka 40 mbele na mwisho wa siku zetu ,tuombe kukimbia kwetu kusiwe wakati wa baridi au SIKU YA SABATO

JE YESU HAKUJUA ? Ukija ujibu hili swali
  • Nukuu ya EGW inalingana na Biblia, Sabato ni siku ya Mungu, ya mapumziko na rehema.

Umegusia pia kukataza ,Mvinyo, furaha, nyimbo na pete​

Umenukuu👇

Acha UPOTOSHAJI, nukuu halisia ni hii
  • Kuhusu divai. “Wine used in moderation is wholesome and not sinful.” (Counsels on Diet and Foods, p. 365)
  • Kuhusu muziki: “Music is to be employed in worship and praise, to elevate the heart to God.” (Education, p. 160)

Muktadha halisi

  • Biblia haipigi marufuku divai,Bali inakataza pombe au divai iliyochachwa , (Luke 7:34, John 2:9, 1 Timothy 5:23).
  • Nyimbo na furaha kwa Mungu ni kuinua moyo, si kucheza sebene (2 Sam 6:5, 1 Chronicles 16:42).kajifunze kwa wayahudi ambao wametunza Hadi kesho jinsi ibada zinavyoendeshwa kwa nyimbo ,wewe unadhani ni hizi SEBENE ,NA SINGELI MNAZOFANYA MAKANISANI 🤣
  • Pete na mikufu zilikuwa zinavaliwa na wapagani, leta andiko tuvae hivo vitu, Mimi Nina maandiko yanayoonesha ni vya wapagani
Ukisha kuwa ndani ya dhehebu tu wewe ni mpumbavu
 
Kudai Ufunuo Mpya Baada ya Biblia
- Alisema Mungu alimpa ujumbe wa mwisho (Testimonies, Vol. 5, uk. 67), ↔
Ufunuo 22:18-19 inakataza kuongeza Neno la Mungu.
Mimi na simama na point no4 kama ulivyo nukuu hiyo verse inayokataza kuongeza nitanukuu.

Ufunuo wa Yohana 22:18-19 (KJV)

Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.

Yohana anaposema atayeongeza au kuondoa neno kwenye kitabu Cha unabii .....alimaanisha kitabu chake Cha ufunuo Wala sio Biblia yote. Yeye alizungumzia kitabu chake Cha ufunuo kuwa hakipaswi kuongezewa Wala kupunguzwa.

Hakumaanisha bibilia maana Hadi anakufa Biblia haikuwepo ilikuwa haijaunganishwa(kukusanywa ) Kila kitabu kilikuwa kinajitegemea ndio maana utaona yesu alikuwa akachukua gombo la kitabu Cha Isaya nk.

Biblia sio kitabu Bali ni mkusanyko wa vitabu vyote vilivyomo na vilivyo ondolewa humo.

Ishi na hayo mkuu.
 
HIVI UONGO KWENU NI SIFA KUU?

Nianze na huu uzushi ,kuhusu Unabii wa Kurudi kwa Yesu kabla ya 1851

Nukuu uliyoleta ni hii 👇

Huu ULIOFANYA ni UZUSHI ,nukuu halisia ni hii 👇

Muktadha ni kwamba EGW hakuwa akitabiri tarehe kamili ya kurudi kwa Yesu, bali alihimiza wafuasi kuwa macho na tayari kiroho. Biblia pia inathibitisha hilo

​

Uzushi wa pili uliyoleta ,unasema alisema Jerusalem haitajengwa tena​

​

Nukuu uliyoleta wewe ,hapa Tena umefanya Uzushi

“Alisema Jerusalemu haitajengwa tena (Early Writings, uk. 75)”​

nukuu halisia ni hii👇👇

EGW alikuwa akionyesha ufunuo wa kiroho wa Kanisa na watu wa Mungu, si mji wa kihistoria.,Alizungumzia Yerusalemu mpya ya mbinguni ya Kiroho, sio hiyo ya Netanyau,

Biblia pia inathibitisha👇

Hoja nyingine uliyoibua ya uzushi ni unasema anafundisha Damu ya Yesu na Ushindi wa Kristo kuwa haitoshi​

Nukuu uliyoleta 👇

UONGO na UPOTOSHAJI mwingine huu,, nukuu halisia ni hii👇👇

EGW anathibitisha ushindi wa Yesu juu ya Shetani, si kushindwa kama ulivyoongopa .

Biblia pia inasema👇

​

Uzushi mwingine unasema ,alijitangazia ,Ufunuo Mpya Baada ya Biblia​

Nukuu ulizoleta 👇👇

Acha UPOTOSHAJI, nukuu halisia ni hii👇👇

EGW hakutengeneza maandiko mapya, bali alieleza ufasiri wa Biblia kwa zama zake.

Biblia inathibitisha hilo👇👇

Halafu mwisho ukaibua hoja ya Sabato​

Sabato hajaleta EGW ,Watunza Sabato wapo toka edeni, Watunza Sabato wa AWALI kabisa wapo Soma historia acha kula nguruwe tu,

Nenda hapo historia ,penye Ukristo wa awali ulioletwa na Mtume Mathayo na Philipo ,kajifunze

EGW alisema 👇 👇

Ndivyo na maandiko yanafundisha hivo

  • Yesu na Mitume wote walitunza Sabato (Luke 4:16, Acts 13:14).
  • Yesu alionyesha Sabato itakuwepo hata kizazi cha mwisho kwenye sekeseke la mpinga kristo, alizungumzia tukio la mbele 70 AD kuvunjwa kwa Hekalu na siku za mwisho (Matthew 12:11-12).
JE YESU HAKUJUA KUWA SABATO IMEFUTWA HADI AWAPE TAHADHARI WAYAHUDI KUWA 70AD au miaka 40 mbele na mwisho wa siku zetu ,tuombe kukimbia kwetu kusiwe wakati wa baridi au SIKU YA SABATO

JE YESU HAKUJUA ? Ukija ujibu hili swali
  • Nukuu ya EGW inalingana na Biblia, Sabato ni siku ya Mungu, ya mapumziko na rehema.

Umegusia pia kukataza ,Mvinyo, furaha, nyimbo na pete​

Umenukuu👇

Acha UPOTOSHAJI, nukuu halisia ni hii
  • Kuhusu divai. “Wine used in moderation is wholesome and not sinful.” (Counsels on Diet and Foods, p. 365)
  • Kuhusu muziki: “Music is to be employed in worship and praise, to elevate the heart to God.” (Education, p. 160)

Muktadha halisi

  • Biblia haipigi marufuku divai,Bali inakataza pombe au divai iliyochachwa , (Luke 7:34, John 2:9, 1 Timothy 5:23).
  • Nyimbo na furaha kwa Mungu ni kuinua moyo, si kucheza sebene (2 Sam 6:5, 1 Chronicles 16:42).kajifunze kwa wayahudi ambao wametunza Hadi kesho jinsi ibada zinavyoendeshwa kwa nyimbo ,wewe unadhani ni hizi SEBENE ,NA SINGELI MNAZOFANYA MAKANISANI 🤣
  • Pete na mikufu zilikuwa zinavaliwa na wapagani, leta andiko tuvae hivo vitu, Mimi Nina maandiko yanayoonesha ni vya wapagani
Barikiwa mtumishi
 
Pete na mikufu zilikuwa zinavaliwa na wapagani, leta andiko tuvae hivo vitu, Mimi Nina maandiko yanayoonesha ni vya wapagani
Mboni hujaandika hilo andiko lako hapo na amekwambia utoe kwenye biblia sio sehemu nyingine yoyote, kuhusu muziki na divai umetumia mapokeo wakati yeye anataka utoe kwenye Biblia tu
 
Mboni hujaandika hilo andiko lako hapo na amekwambia utoe kwenye biblia sio sehemu nyingine yoyote, kuhusu muziki na divai umetumia mapokeo wakati yeye anataka utoe kwenye Biblia tu
Kama msomi wa biblia nilitegemea awe ameelewa hakuna mahali biblia imeruhusu hivo vitu

Pete na mikufu zilizotumika katika Biblia si mafundisho ya Mungu au vya kutakiwa kwa Waisraeli, bali zilikuwa desturi za wapagani. Hii inatokana na historia ya watu wa Labani, Moab, na Amon, ambapo wapagani walitumia pete, mikufu, bangili, na vito kwa heshima ya miungu yao (Kumb 7:25; 1 Sam 15:23).

Biblia yenyewe inatuonya dhidi ya kufuata desturi za wapagani

“Wala msitende kama wakosefu wa hekima wa mataifa, na msifuate njia zao.” (Waefeso 4:17; 1 Korintho 10:20-21)

Kwa mfano, Labani alikuwa kiongozi wa wapagani na alikubali kutumia mapambo na vito vya kipagani kwa familia na ibada za kipagani (Kwanza 31).

Musa aliwaonya Waisraeli dhidi ya kupenda au kutumia desturi za wapagani, kama pete za dhahabu, mikufu, au bangili, kwa sababu hizi ni alama za ibada ya wapagani, si za Mungu (Kutoka 32:1-4; 35:22).

Kwa hiyo, pete, mikufu, bangili, na mapambo hayo hayakuwa mafundisho ya Biblia, bali ni alama za utamaduni wa kipagani ambao Biblia inatoa onyo dhidi yake.

Wale wanaosema ni mafundisho ya Biblia wanatumia mapokeo au tafsiri zisizo sahihi, si maandiko yenyewe
 
Hivi kwanin kila anayepinga uchafu wa uislamu lazima mnihusishe Mimi

Kule jukwaa la international hivo hivo, mna shida nyie
You are one and the same person
Internet haiongopi
Uwasilishaji wako unafanana mpaka jinsi unavyojibu
Una id ya kisabato ili uweze kuingia kujibu hoja za kisabato kuogopa kuwakwaza wale wanaokushabikia kule kwengine kwani itikadi zenu tofauti.
Unajifanya umesoma sana elimu dunia na kuwazidi waislam wakati hapo diploma tu imekushinda
Unajitia ujanja huku unafuata kahaba EGW!
Rudi kwenye jukwaa la Arsenal na kucheza kamari
 
Wewe ni wakupuuzwa ,kuendelea kukujibu nikukupa kiki
 
Hizo ulizofaja zilikuwa tiba za jadi kwa jamii ya Kikureshi,

Vituko vingi vipo kwenye hadithi Hadi aibu kuweka hapa ,
Mkojo wa ngamia: Mtume aliwahi kushauri wagonjwa wanywe mkojo na maziwa ya ngamia kama tiba (Bukhari). Kwa mtazamo wa afya, mkojo ni taka za mwili zilizojaa bakteria na vimelea, si tiba salama. Hii haiwezi kuendana na afya ya kweli.

Habbatus-sauda,Hadith inasema “habbatus-sauda ni tiba ya maradhi yote isipokuwa mauti.” (Bukhari). Kisayansi hakuna mbegu inayoweza kutibu magonjwa yote. Inaweza kuwa na faida fulani, lakini si tiba ya jumla ya magonjwa yote.

Maji ya zamzam na asali, Yameelezwa kama tiba ya maradhi mbalimbali. Ukweli ni kwamba maji na asali vina faida, lakini si tiba ya kila ugonjwa.

Mazoezi na usafi,Ni kweli haya ni mazuri, lakini hayakuwa mafundisho mapya. Watu wa kale wengi walikuwa na desturi za kuoga, kupiga mswaki wa miti, kufanya mazoezi ya kupigana, kuendesha farasi nk. Hivyo si Muhammad ndiye aliyegundua misingi hiyo.

Kwa hiyo, ukiangalia kwa upana, mchanganyiko wa mafundisho ya kiafya ndani ya Hadith unaonyesha kuna mambo mazuri, lakini pia kuna mambo ya ovyo kabisa ambayo hayawezi kuendana na afya ya kisasa.
Baadhi ya tafiti zilizofanyika kuhusu huo mkojo wa ngamia 🐫 wa 2014 uliofanywa na watafiti kutoka University of Medicine, Kabul, uliona kuwa mkojo wa ngamia una kemikali ambazo zina uwezo wa kupambana na bakteria hatari, kama vile Escherichia coli (E. coli), ambayo ni sababu ya magonjwa ya tumbo na mkojo.

Utafiti wa 2015 uliofanywa katika International Journal of Molecular Sciences, uliona kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na mali ya antibacterial dhidi ya baadhi ya bakteria, ikiwa ni pamoja na bakteria ambazo zinahusiana na maambukizi ya njia ya mkojo na magonjwa ya tumbo.

Tafiti nyingine zimeonyesha kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na mali ya antiviral. Kwa mfano:

Utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Saudi Arabia katika Journal of Infection and Chemotherapy (2017) uliona kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na athari dhidi ya baadhi ya virusi, ikiwa ni pamoja na virusi vya homa ya mapafu (influenza virus). Utafiti huu ulibaini kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na uwezo wa kudhibiti virusi na kuzuia kuenea kwa maambukizi.

Mkojo wa Ngamia dhidi ya Virusi vya Hepatitis C: Utafiti mwingine ulionyesha kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na athari nzuri dhidi ya virusi vya Hepatitis C. Ingawa utafiti huu ulifanyika kwa kiwango kidogo, ulichunguza mkojo wa ngamia kama kiungo cha asili kinachoweza kusaidia kudhibiti maambukizi ya virusi vya ini.
 
Manabii wote ni WA uongo kuanzia kina Mussa mpaka Mwamposa. Hakuna aliye na afadhali
 
Mtabishana sana lakini dini zote ukristo na uislamu zina kasoro. Cha muhimu kila mtu achague inayomfaa.
 
Back
Top Bottom