Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

U
Jibu .....ukisikia kitu kinaitwa 👉 DHEHEBU jua ilo ni hekalu mojawapo ya mahekalu ya shetani ....dalili moja wapo kuwa upochini ya madhehebu ni kusajiliwa na kuwa muhumini
 
Ukisha kuwa ndani ya dhehebu tu wewe ni mpumbavu
 
Kudai Ufunuo Mpya Baada ya Biblia
- Alisema Mungu alimpa ujumbe wa mwisho (Testimonies, Vol. 5, uk. 67), ↔
Ufunuo 22:18-19 inakataza kuongeza Neno la Mungu.
Mimi na simama na point no4 kama ulivyo nukuu hiyo verse inayokataza kuongeza nitanukuu.

Ufunuo wa Yohana 22:18-19 (KJV)


Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.

Yohana anaposema atayeongeza au kuondoa neno kwenye kitabu Cha unabii .....alimaanisha kitabu chake Cha ufunuo Wala sio Biblia yote. Yeye alizungumzia kitabu chake Cha ufunuo kuwa hakipaswi kuongezewa Wala kupunguzwa.

Hakumaanisha bibilia maana Hadi anakufa Biblia haikuwepo ilikuwa haijaunganishwa(kukusanywa ) Kila kitabu kilikuwa kinajitegemea ndio maana utaona yesu alikuwa akachukua gombo la kitabu Cha Isaya nk.

Biblia sio kitabu Bali ni mkusanyko wa vitabu vyote vilivyomo na vilivyo ondolewa humo.

Ishi na hayo mkuu.
 
Barikiwa mtumishi
 
Pete na mikufu zilikuwa zinavaliwa na wapagani, leta andiko tuvae hivo vitu, Mimi Nina maandiko yanayoonesha ni vya wapagani
Mboni hujaandika hilo andiko lako hapo na amekwambia utoe kwenye biblia sio sehemu nyingine yoyote, kuhusu muziki na divai umetumia mapokeo wakati yeye anataka utoe kwenye Biblia tu
 
Mboni hujaandika hilo andiko lako hapo na amekwambia utoe kwenye biblia sio sehemu nyingine yoyote, kuhusu muziki na divai umetumia mapokeo wakati yeye anataka utoe kwenye Biblia tu
Kama msomi wa biblia nilitegemea awe ameelewa hakuna mahali biblia imeruhusu hivo vitu

Pete na mikufu zilizotumika katika Biblia si mafundisho ya Mungu au vya kutakiwa kwa Waisraeli, bali zilikuwa desturi za wapagani. Hii inatokana na historia ya watu wa Labani, Moab, na Amon, ambapo wapagani walitumia pete, mikufu, bangili, na vito kwa heshima ya miungu yao (Kumb 7:25; 1 Sam 15:23).

Biblia yenyewe inatuonya dhidi ya kufuata desturi za wapagani

“Wala msitende kama wakosefu wa hekima wa mataifa, na msifuate njia zao.” (Waefeso 4:17; 1 Korintho 10:20-21)

Kwa mfano, Labani alikuwa kiongozi wa wapagani na alikubali kutumia mapambo na vito vya kipagani kwa familia na ibada za kipagani (Kwanza 31).

Musa aliwaonya Waisraeli dhidi ya kupenda au kutumia desturi za wapagani, kama pete za dhahabu, mikufu, au bangili, kwa sababu hizi ni alama za ibada ya wapagani, si za Mungu (Kutoka 32:1-4; 35:22).

Kwa hiyo, pete, mikufu, bangili, na mapambo hayo hayakuwa mafundisho ya Biblia, bali ni alama za utamaduni wa kipagani ambao Biblia inatoa onyo dhidi yake.

Wale wanaosema ni mafundisho ya Biblia wanatumia mapokeo au tafsiri zisizo sahihi, si maandiko yenyewe
 
Hivi kwanin kila anayepinga uchafu wa uislamu lazima mnihusishe Mimi

Kule jukwaa la international hivo hivo, mna shida nyie
You are one and the same person
Internet haiongopi
Uwasilishaji wako unafanana mpaka jinsi unavyojibu
Una id ya kisabato ili uweze kuingia kujibu hoja za kisabato kuogopa kuwakwaza wale wanaokushabikia kule kwengine kwani itikadi zenu tofauti.
Unajifanya umesoma sana elimu dunia na kuwazidi waislam wakati hapo diploma tu imekushinda
Unajitia ujanja huku unafuata kahaba EGW!
Rudi kwenye jukwaa la Arsenal na kucheza kamari
 
Wewe ni wakupuuzwa ,kuendelea kukujibu nikukupa kiki
 
Baadhi ya tafiti zilizofanyika kuhusu huo mkojo wa ngamia 🐫 wa 2014 uliofanywa na watafiti kutoka University of Medicine, Kabul, uliona kuwa mkojo wa ngamia una kemikali ambazo zina uwezo wa kupambana na bakteria hatari, kama vile Escherichia coli (E. coli), ambayo ni sababu ya magonjwa ya tumbo na mkojo.

Utafiti wa 2015 uliofanywa katika International Journal of Molecular Sciences, uliona kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na mali ya antibacterial dhidi ya baadhi ya bakteria, ikiwa ni pamoja na bakteria ambazo zinahusiana na maambukizi ya njia ya mkojo na magonjwa ya tumbo.

Tafiti nyingine zimeonyesha kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na mali ya antiviral. Kwa mfano:

Utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Saudi Arabia katika Journal of Infection and Chemotherapy (2017) uliona kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na athari dhidi ya baadhi ya virusi, ikiwa ni pamoja na virusi vya homa ya mapafu (influenza virus). Utafiti huu ulibaini kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na uwezo wa kudhibiti virusi na kuzuia kuenea kwa maambukizi.

Mkojo wa Ngamia dhidi ya Virusi vya Hepatitis C: Utafiti mwingine ulionyesha kuwa mkojo wa ngamia unaweza kuwa na athari nzuri dhidi ya virusi vya Hepatitis C. Ingawa utafiti huu ulifanyika kwa kiwango kidogo, ulichunguza mkojo wa ngamia kama kiungo cha asili kinachoweza kusaidia kudhibiti maambukizi ya virusi vya ini.
 
Manabii wote ni WA uongo kuanzia kina Mussa mpaka Mwamposa. Hakuna aliye na afadhali
 
Mtabishana sana lakini dini zote ukristo na uislamu zina kasoro. Cha muhimu kila mtu achague inayomfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…