Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Yupo wapi kivipi??..kwani kwenye jingles na matangazo ya kampuni mbalimbali si unamsikia??
Asante broo..saiv yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante broo..saiv yuko wapi?
Anaitwa Chris huyo jamaa Na ndo jamaa anaehusika Na matangazo ya clouds
Kuna member anaitwa askofu tza humu nilikuwa namtag nimuulize.
Ila mzee baba unafatilia sana redio ya watu!
Hivi sosofresh leo hamna?
ile sauti ya Cloooouuuuudss fm, ni ya M L Chriss ila iliondolewa kwasababu jamaa aliondoka kituo kile mambo ya copyright wakaondoa ile jingle,Aslaam aleikyum wanajamvi..Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wanafamilia wote wa CMG kwa kuondokewa na Watu wawili muhimu(Ruge&Kibonde),Kazi yake mola haina makosa...Let me back to the business,Kwa waskilizaji wazuri wa Clouds FM lazima watakua wanaijua hii sauti,Kuna sauti nzito kama uji na yakitofauti hua inaskika zaidi ya 80% kwenye Vipindi vyote vya Clouds FM,Sauti ya huyu Dingilii inatumika kwenye vipindi vyote iwe kwenye Jingles,Sign tune,Sweeper,Enter programs,Promo nk.Ata sasahivi sauti yake inaskika sana kuhusu kifo cha kibonde ikisema"Emphraim kibonde wewe ni sura halisi ya Utamaduni wa Clouds,Kurasa za Kibs",,Jingles na Enter program zake ni1:Ekstraa Ekstra Laajii.2:Jahazi la Clouds FM mdogomdogo hadi saa moja.3:Leeo tenaa.4:Njia panda na Dr.Isaac Maro...pia Sweeper zake ni 1:Mbili tano tano.2:Mastori ya Town.3:Heka heka Unlimited nk...Pia Frequency zote za Clouds FM katika mikoa yote Tz huzitaja yeye mfano 88.1MHz Clouds FMArusha/Mwanza,87.5 MHz Clouds FM Shinyanga,104.4MHz Clouds FM Dodoma...Pia zamani hii sauti Ilikua ikiskika ikisema"CLAAAAUUUUZZZ FM...Naombeni wanajamvi mnijulishe huyu jamaa anaitwa nani na Yuko wapi saiv na kwanini hana kipindi pale mawingu??Asanteni....
@ChaliiYaKijengeJuu.