OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaa!!Sawa mkuu.Ni Patrick nimemsikia akitajwa leo na Siza. Wakati wa kumuaga Kibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Makini sana ariff.Mkuu ni Patrick, wametangaza wakati anamuaga marehemu Ephraim Kibonde leo mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kilichokushangaza ni kipi?Hapana mkuu kuna siku nilipost kitu kuhusu kipindi cha XXL nikakosea kidogo kitu fulani,Dah watu walinishambulia balaa asee.!hadi nikashangaa kumbe clouds ina listers wengi ivi?!!
Uyu dingilii ni konyo sana bablae..ndo uyo kwenye picha walizoleta machalii apo juu au sio yeye??coz we ushamuona..Huyo chalii nilishawahi kumuona live kwenye shoo ya clouds uswazi jamaa akapanda stejini akawa anaonyesha uwezo wake live kama anafanya matangazo, basi raia kila walikuwa hawataki ashuke wanataka arudie rudie kwa kweli kila mtu pale alishangazwa na uwezo wake yaani kiufupi tu jamaa mchangamfu sana halafu yuko simpo hata kimavazi
Ndio yeye wa kwenye picha hapoUyu dingilii ni konyo sana bablae..ndo uyo kwenye picha walizoleta machalii apo juu au sio yeye??coz we ushamuona..
Mia100.Ndio yeye wa kwenye picha hapo
Hivi ni talanta au professionalism?huyo mtu anaitwa Patrick yeye hua co mtangazaji wa chombo chochote bali huitwa kwa mkataba maalum popote pale! sauti yake husikika pia azam TV, TV1, clouds na matangazo mbalimbali, aliwai pia kuigza siri ya mtungi
Sio Jokopa mkuuNi sauti ya kati ya hawa watu wawili,Razalo matalange au Georg Jokopa.halaf nikumbushie,G.Jokopa Ilikuwa na kipindi kinaitwa jicho LETU jmos asubuh,jamaa anajua sana mambo ya ulimwengu wa siasa za nje na historia kwa ujmla
Kusaga huyu aliyejiita naye kijana kwenye msiba wa KibondeNadhani atakuwa Kusaga
Gadna G HabashiHapana mkuu,Askofu tza sauti yake sio hiyo,,inaonekana huyu dingilii ni Legendary kabisa.
Sio Jokopa mkuu
Ni Njogopa samahani lakini kama nitakuwa nimekosea kusahihisha mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
zamani sana mkuu labda nilikua bado sijazaliwa,coz nilianza kuskiliza clouds nikiwa darasa la5 enzi za Emmanuel Likuda,Mussa Hussein,Kibonde na Wasiwasi mwabulambo pale Jahazini,XXL ina kina Dozen,Dj Fetty,Mchomvu,Dee andy na Dj stevie B,Leo tena ina Dina Mario, Ghea kabla ya hawa kina Jose Mara uku Powerbreakfast ikiwa na Babra hassan,Gerrard Hando na PJ,Top20 ni Millard Ayo.Ray Mshana na Dee Andy wana kipindi cha Total Request,Pia Perfect Crispin anakipindi cha Klabu10,,So sijaanza zamani sana Nilianza miaka ya 2009/10 up to now.Ni sauti ya kati ya hawa watu wawili,Razalo matalange au Georg Jokopa.halaf nikumbushie,G.Jokopa Ilikuwa na kipindi kinaitwa jicho LETU jmos asubuh,jamaa anajua sana mambo ya ulimwengu wa siasa za nje na historia kwa ujmla
zamani sana mkuu labda nilikua bado sijazaliwa,coz nilianza kuskiliza clouds nikiwa darasa la5 enzi za Emmanuel Likuda,Mussa Hussein,Kibonde na Wasiwasi mwabulambo pale Jahazini,XXL ina kina Dozen,Dj Fetty,Mchomvu,Dee andy na Dj stevie B,Leo tena ina Dina Mario, Ghea kabla ya hawa kina Jose Mara uku Powerbreakfast ikiwa na Babra hassan,Gerrard Hando na PJ,Top20 ni Millard Ayo.Ray Mshana na Dee Andy wana kipindi cha Total Request,Pia Perfect Crispin anakipindi cha Klabu10,,So sijaanza zamani sana Nilianza miaka ya 2009/10 up to now.[/QUOT
hapo n juzi sana mkuu,kuanzia 2008 kurudi nyuma hao jamaa walikuwepo