princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
- Thread starter
- #41
Very very true.Mijitu mingine haijui ina kisia tuu. Kwani lazima ukomenti?!!. Kama kitu hauna uhakika nacho ni vema kukaa kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very very true.Mijitu mingine haijui ina kisia tuu. Kwani lazima ukomenti?!!. Kama kitu hauna uhakika nacho ni vema kukaa kimya.
G dengo huyuhuyu wa Jembe FM?jamaa anaitwa G sengo...for now yupo kituo washirika cha clouds... jijini mwnza kinaitwa jembe fm
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mamiloo.
Yeahp Cheche Mtungi yuko vizuri nae,,ata kwenye tamthilia pale azam tv anaingiza sauti za kiswahili.Mimi nilikuwa nataka kumjua sanaa.yule jamaa anaeweka sauti kwenye matangazo ya ukimwi.
Juzi naangalia tamthilia ya huba.nikaskia sauti Yake.
Ni yule cheche mtungi.
Hata kwenye video ya banana zoro ya zoba alikuwepo
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sio huyo Chris Lugoe anayetangaza Choice FM wala yule aliyeenda Vodacom tunaomba jibu sahihi.Hiyo sauti sio ya mchezo ni namba 1 Tanzania kwa jingles.
huyo mtu anaitwa Patrick yeye hua co mtangazaji wa chombo chochote bali huitwa kwa mkataba maalum popote pale! sauti yake husikika pia azam TV, TV1, clouds na matangazo mbalimbali, aliwai pia kuigza siri ya mtungi
Yeahp Cheche Mtungi yuko vizuri nae,,ata kwenye tamthilia pale azam tv anaingiza sauti za kiswahili.
huyo mtu anaitwa Patrick yeye hua co mtangazaji wa chombo chochote bali huitwa kwa mkataba maalum popote pale! sauti yake husikika pia azam TV, TV1, clouds na matangazo mbalimbali, aliwai pia kuigza siri ya mtungi
Aaha makini sana chaliangu,Shukrani asee..!!Anaitwa Chris Lugoe a.k.a ML Chriss
huyo hapo wa katikati.
![]()
hapo chini akiwa na marehemu ruge kwenye party ya clouds fm
![]()
hapachini akiwa MTV
Mm niljua yule wa Vodacom ndo anatengeneza n hizo jingle za Mawingu, mana jamaa anatisha aisee ana bong la voiceHata sio huyo Chris Lugoe anayetangaza Choice FM wala yule aliyeenda Vodacom tunaomba jibu sahihi.Hiyo sauti sio ya mchezo ni namba 1 Tanzania kwa jingles.
Ni Patrick nimemsikia akitajwa leo na Siza. Wakati wa kumuaga KibondeAsanteni sana kwa response yenu,,but kuna watu wawili apa wametajwa sana,kuna M.L Chriss na Patrick,,sasa hiyo sauti ni yanani kati ya hawa??Au ndo mtu mmoja labda ana majina mengi au huenda jina lingine ni aka yake.?!
Mkuu ni Patrick, wametangaza wakati anamuaga marehemu Ephraim Kibonde leo mchanaAsanteni sana kwa response yenu,,but kuna watu wawili apa wametajwa sana,kuna M.L Chriss na Patrick,,sasa hiyo sauti ni yanani kati ya hawa??Au ndo mtu mmoja labda ana majina mengi au huenda jina lingine ni aka yake.?!
Hahaha manaa kataja hadi frequence zote[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona huenda wewe ndiye msikilizaji makini wa clouds kuliko hata wana jf.