Kwa wasikilizaji wa Clouds FM the People's Station Mnisaidie hili

Kwa wasikilizaji wa Clouds FM the People's Station Mnisaidie hili

Mimi nilikuwa nataka kumjua sanaa.yule jamaa anaeweka sauti kwenye matangazo ya ukimwi.
Juzi naangalia tamthilia ya huba.nikaskia sauti Yake.
Ni yule cheche mtungi.
Hata kwenye video ya banana zoro ya zoba alikuwepo
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahp Cheche Mtungi yuko vizuri nae,,ata kwenye tamthilia pale azam tv anaingiza sauti za kiswahili.
 
Hahahaha, jamaa anaitwa Patrick aligiza pia Siri ya Mtungi ,yuko clouds muda tu,na ndio anayeingiza hizo Sauti
Hata sio huyo Chris Lugoe anayetangaza Choice FM wala yule aliyeenda Vodacom tunaomba jibu sahihi.Hiyo sauti sio ya mchezo ni namba 1 Tanzania kwa jingles.

MTC | 101| [emoji769]
 
Yes uko sahihi
huyo mtu anaitwa Patrick yeye hua co mtangazaji wa chombo chochote bali huitwa kwa mkataba maalum popote pale! sauti yake husikika pia azam TV, TV1, clouds na matangazo mbalimbali, aliwai pia kuigza siri ya mtungi

MTC | 101| [emoji769]
 
Mko sahihi kabisa wakuu
Yeahp Cheche Mtungi yuko vizuri nae,,ata kwenye tamthilia pale azam tv anaingiza sauti za kiswahili.
huyo mtu anaitwa Patrick yeye hua co mtangazaji wa chombo chochote bali huitwa kwa mkataba maalum popote pale! sauti yake husikika pia azam TV, TV1, clouds na matangazo mbalimbali, aliwai pia kuigza siri ya mtungi

MTC | 101| [emoji769]
 
Anaitwa Chris Lugoe a.k.a ML Chriss

huyo hapo wa katikati.
BbX1IoKIgAAym-u.jpg

hapo chini akiwa na marehemu ruge kwenye party ya clouds fm
9.jpg

hapachini akiwa MTV

Asanteni sana kwa response yenu,,but kuna watu wawili apa wametajwa sana,kuna M.L Chriss na Patrick,,sasa hiyo sauti ni yanani kati ya hawa??Au ndo mtu mmoja labda ana majina mengi au huenda jina lingine ni aka yake.?!
 
Mara ya mwisho kusikilza clouds ilikua cku anaaga dj fetty
 
Back
Top Bottom