Kwa wasikilizaji wa Clouds FM the People's Station Mnisaidie hili

Mimi nilikuwa nataka kumjua sanaa.yule jamaa anaeweka sauti kwenye matangazo ya ukimwi.
Juzi naangalia tamthilia ya huba.nikaskia sauti Yake.
Ni yule cheche mtungi.
Hata kwenye video ya banana zoro ya zoba alikuwepo
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu ya wadau yanaponyesha malaria kwa kweli haahaa
 
Hata sio huyo Chris Lugoe anayetangaza Choice FM wala yule aliyeenda Vodacom tunaomba jibu sahihi.Hiyo sauti sio ya mchezo ni namba 1 Tanzania kwa jingles.
 
ile sauti ya Cloooouuuuudss fm, ni ya M L Chriss ila iliondolewa kwasababu jamaa aliondoka kituo kile mambo ya copyright wakaondoa ile jingle,

hiyo sauti unayoisema, siyo ya Lugoe, na mwanzo mimi nilijua ni ya DJ VENTURE ila bado sijathibitisha
 
Hiyo sauti ni kiboko,sasa pata picha ikiwa inampgia mtu promo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…