Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kule nako kuna biashara wanaziendesha....wenye kulima mlime,wenye kufuga mfuge...na wanunuzi wapoUmesema vyema hilo ni kweli kwa asilimia 100
Huwa nawashangaa sana watumishi wajinga na wapumbavu wanaokimbilia kufanya kazi kwenye majiji makubwa
Leo ni mapumziko itakuwa wameomba ruhusa na kwenda kukutana sabasaba. 😂Umesema vyema hilo ni kweli kabisa
Huwa nawashangaa sana watumishi wajinga na wapumbavu wanaoona ufahari kufanya kazi kwenye majiji makubwa ambapo si rahisi kulima au kufuga
Kilimo na mifugo vinalipa sana na kupunguza gharama za maisha
Kule nako kuna biashara wanaziendesha....wenye kulima mlime,wenye kufuga mfuge...na wanunuzi wapo
Maisha hayapo hivyo, tunaishi kwa kutegemeana.Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu.
Kwa wale wasiolima na kutegemea mishahara tu, ndio wanao ona maisha ni magumu.
Majungu, fitna, na chuki za hapa na pale, zinatokana na kutokulima pamoja na kufuga.
Je ni kweli ama si kweli?
Mkuu, wanatikiwa kuacha ajira wakalime au wanatakiwa kulima kilimo cha simu au unawashauri nini? Tusisahau mkulima anamhitaji daktari, polisi, mhasibu n.k.Wana biashara gani za maana watumishi walio kwenye majiji makubwa?
Tusiongee kiushabiki tu ni wachache sana ambao wana biashara za maana
Watazame wastaafuMaisha hayapo hivyo, tunaishi kwa kutegemeana.
Wewe fuga wenzako watanunua
Tukiwa wote wafugaji na wakulima, nani atatengeneza na kuuza mbolea na vifaa vya kilimo na ufugaji?
Nani atanunua hiyo mifugo na mazao
Nani atakuwa daktari, mwalimu, mfanyabiashara, jeshi?
NB.
Kuna wakulima/wafugaji wapo vizuri pia Kuna wengine apeche alolo
Kuna watu si wakulima/wafugaji na wapo vizuri Kinoma, hali kadhalika wapo apeche alolo
Kila mtu aheshimu vipaumbele na kazi/mawazo ya mwenzake.
Kuna watu hawana interest wala fikra za kulima/kufuga ila wapo vizuri kwenye interest zao
Halafu mujue hao waliokuwa kwenye majiji makubwa, asilimia zaidi ya 80 wanatoka huko huko mnakolima.Wana biashara gani za maana watumishi walio kwenye majiji makubwa?
Tusiongee kiushabiki tu ni wachache sana ambao wana biashara za maana
Wabongo tumezoea shinda kiasi ambacho mtu asipohenyeka kupita kiasi anaona kama haishi. Unajua maana ya specialization? Haya maisha unayoyapigia debe sasa hivi wenzatu waliishi hivyo miaka 100 iliyopita. Kipindi hicho ndiyo watu walikuwa wana hustle kama kuku wa kienyeji au wanyama wa porini na walikuwa hawana choice. Sisi tumebahatika kuwa na kila kitu, na tunachokosa ni uongozi bora tu. Mtu anatakiwa akiwa ni daktari, basi awekeze nguvu yake kwenye anachofanya. Injinia hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa kwa wataalam kujikuta kwenye hali ya kufukuzana na miradi ili ku-compliment maisha yao.Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu.
Kwa wale wasiolima na kutegemea mishahara tu, ndio wanao ona maisha ni magumu.
Majungu, fitna, na chuki za hapa na pale, zinatokana na kutokulima pamoja na kufuga.
Je ni kweli ama si kweli?
Shida yako unafananisha watu wachache waliofaninikiwa kwenye kilimo na watu wengi walio hali ya chini wasiolima.Watazame wastaafu
Mkuu, wanatikiwa kuacha ajira wakalime au wanatakiwa kulima kilimo cha simu au unawashauri nini?
Tusipolima na kufuga, unategemea nani akufugie na kukuletea chakula?Shida yako unafananisha watu wachache waliofaninikiwa kwenye kilimo na watu wengi walio hali ya chini wasiolima.
Ukilinganisha walio na hali ngumu, wakulima na wasio wakulima basi wakulima ndio hali tete
Ukilinganisha walio vizuri wakulima na walio vizuri wasiolima basi wasiolima wapo kibao Sana.
Mtu kasomea udaktari unamlazimisha akalime wakati anaweza kufungua hata duka la dawa akapiga pesa vizuri tu.Wabongo tumezoea shinda kiasi ambacho mtu asipohenyeka kupita kiasi anaona kama haishi. Unajua maana ya specialization? Haya maisha unayoyapigia debe sasa hivi wenzatu waliishi hivyo miaka 100 iliyopita. Kipindi hicho ndiyo watu walikuwa wana hustle kama kuku wa kienyeji au wanyama wa porini na walikuwa hawana choice. Sisi tumebahatika kuwa na kila kitu, na tunachokosa ni uongozi bora tu. Mtu anatakiwa akiwa ni daktari, basi awekeze nguvu yake kwenye anachofanya. Injinia hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa kwa wataalam kujikuta kwenye hali ya kufukuzana na miradi ili ku-compliment maisha yao.
Hajawahi kutokea hiyo ni nadharia tuTusipolima na kufuga, unategemea nani akufugie na kukuletea chakula?
Mfumo ndio umekuwa hivyo, na mwisho wa siku mtu anatakiwa ajipiganie yeye mwenyewe aweze kupata uhakika wa kula kile anachokiitaji maisha yake yote; huku nafsi ikiwa imetulia na kuridhika.Wabongo tumezoea shinda kiasi ambacho mtu asipohenyeka kupita kiasi anaona kama haishi. Unajua maana ya specialization? Haya maisha unayoyapigia debe sasa hivi wenzatu waliishi hivyo miaka 100 iliyopita. Kipindi hicho ndiyo watu walikuwa wana hustle kama kuku wa kienyeji au wanyama wa porini na walikuwa hawana choice. Sisi tumebahatika kuwa na kila kitu, na tunachokosa ni uongozi bora tu. Mtu anatakiwa akiwa ni daktari, basi awekeze nguvu yake kwenye anachofanya. Injinia hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa kwa wataalam kujikuta kwenye hali ya kufukuzana na miradi ili ku-compliment maisha yao.