T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Sijalima mkuu, nina mpango wa kulima nikiwa na kiasi fulani cha fedha. Nafuatilia kila kitu na katika ufuatiliaji sijaona wakulima kaka kundi la watu wenye maisha mazuri. Unless awe ni mtu alitoka kwenye shughuli fulani akaingia kwenye kilimo. Sio mtu alilima kisa msimu umefika na hana kazi ya kufanya.Hapo nyumbani umelima ata tembele kweli?