Kigezo kimojawapo cha nchi kuendelea ni wakulima kupungua na kubaki wachache.Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu.
Kwa wale wasiolima na kutegemea mishahara tu, ndio wanao ona maisha ni magumu.
Majungu, fitna, na chuki za hapa na pale, zinatokana na kutokulima pamoja na kufuga.
Je ni kweli ama si kweli?
Hahaha.Hahaa kmmk π siwashauri kabisa walime kilimo cha simu bora waendelee kuganga njaa mijini
Tatizo la hao wachache wanalima robo heka, ndio maana vyakula vinapanda beiKigezo kimojawapo cha nchi kuendelea ni wakulima kupungua na kubaki wachache.
Kwahiyo mkuu, mabucha kujaa nyama ni kielelezo cha wafugaji kuwa matajiri?Lakini kila siku mabucha yamejaa nyama, zinatoka wapi?
Wanalima maeneo makubwa tu, bei kupanda ni kwa sababu nje ya nchi wananunua zaidi na kwa sababu bado mnategemea kilimo cha mvua cha msimu.Tatizo la hao wachache wanalima robo heka, ndio maana vyakula vinapanda bei
Kama bidhaa yako unayoizalisha iko sokoni, kwa nini wewe ulale njaa?Kwahiyo mkuu, mabucha kujaa nyama ni kielelezo cha wafugaji kuwa matajiri?
Au masoko ya China na Marekani kujaa electrical vehicles ni kielelezo cha wachimbaji wa Lithium kule Congo ni matajiri.
Kati ya wafugaji na wamiliki wa bucha za nyama nani wako likely kunywa maji ya dimbwi na kukosa umeme nyumbani kwake.
Wanalima maeneo makubwa tu, bei kupanda ni kwa sababu nje ya nchi wananunua zaidi na kwa sababu bado mnategemea kilimo cha mvua cha msimu.
Hapo kwako umelima ata bustani ya mchicha?Mleta mada umelenga ku attack watu tu bure kbs. Ivi una statistic lakn za umasikin na ugumu wa maisha za hii nchi au kwasbabu wew umelima/kufuga ukapata unadhani wakulima wote wanapata kama wew. Shame on you tafuta data ndg. Unahoja ila umekurupuka namna na kuiweka.
Yes nimelima mkuu zaid ya mchichaHapo kwako umelima ata bustani ya mchicha?
Umepiga hatuaYes nimelima mkuu zaid ya mchicha
Si umesema wakulima wana hela na hawalali njaa, mbona sasa unataka "matajiri" wawekeze kwenye kilimo. Nikajua wakulima nao ni matajiri.Ili wakulima wawe wachache na chakula kizalishwe kwa wingi, inatakiwa matajiri ndio wawekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji n.k hicho ndicho tunachoita kilimo biashara; kwa sasa tuendelee na kilimo cha jembe la mkono ili tuendelee kuishi.
Hapo nyumbani umelima ata tembele kweli?Si umesema wakulima wana hela na hawalali njaa, mbona sasa unataka "matajiri" wawekeze kwenye kilimo. Nikajua wakulima nao ni matajiri.
Kama wamelima miaka nenda rudi na hawana hela ya kuwekeza kwenye kilimo, bado wanatumia jembe la mkono. Unapata wapi nguvu kupinga hoja kuwa wakulima wana maisha magumu.
Ndio ila mkuu nikichek population ya wakulma masikin hapa kijjn ni wengi sana kibaya hata ardhi tu wengi hawana na hawawez kumudu kukodi na kulima kwa kisasa. Since nipo shule ya msingi mpk now bado wanalima ekari moja au mbili ambayo sometimes hata kula familia to haitoshi then wanasubili mvua tena.πUmepiga hatua
Tanzania's Economic Sector Contributions by Percentage (2024 Estimates):Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu.
Kwa wale wasiolima na kutegemea mishahara tu, ndio wanao ona maisha ni magumu.
Majungu, fitna, na chuki za hapa na pale, zinatokana na kutokulima pamoja na kufuga.
Je ni kweli ama si kweli?
Hawafanyi kilimo biashara, bali wanafanya kilimo cha kuwa na uhakika wa chakula. Huku mjini tunaangaika hapa na pale ili tupate shilingi tuibadilishe iwe chakula.Ndio ila mkuu nikichek population ya wakulma masikin hapa kijjn ni wengi sana kibaya hata ardhi tu wengi hawana na hawawez kumudu kukodi na kulima kwa kisasa. Since nipo shule ya msingi mpk now bado wanalima ekari moja au mbili ambayo sometimes hata kula familia to haitoshi then wanasubili mvua tena.π
Kila binadamu anakula chakula, si ndiyo?Tanzania's Economic Sector Contributions by Percentage (2024 Estimates):
- Services β 40β45%
- Agriculture β 26β28%
- Construction β 13β15%
- Industry & Manufacturing β 8β10%
- Mining & Quarrying β 6β7%
- ICT β 1.5β2%
- Finance & Insurance β 1β2%
Kilimo kina mchango usiofika 30%
Hapo ndo pamefany nikupinge mkuu coz bado idadi ya wakulima maskin ni wengi ndio wanamaisha magumu zaidi, wengi hawan iyo elimuya kubadili kilimo as business. Shida tupu.Hawafanyi kilimo biashara, bali wanafanya kilimo cha kuwa na uhakika wa chakula. Huku mjini tunaangaika hapa na pale ili tupate shilingi tuibadilishe iwe chakula.