Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

Wadau wa mahusiano...mimi nilikutana NA rafiki wa kike huko field sikuwa namfaham japokuwa nimesoma chuo anachosoma ...nilikuwa mwaka wa pili 2017 yeye akiwa mwaka wa 1! Tulikaa nyumba ya kupanga yenye get moja tofaut chumba. Tulianza mazoea hapo siku ya kwanza nilimuona binti
Mkuu, huyo Mdada hawezi kuwa anapita humu JF ? Maana kama ni member, akiona tu anafahamu kuwa ni wewe unamwanika.
 
Wanaume hatuna shukrani tukipewa ni kosa tukinyimwa ni kosa tubadilike wanaume wa Dar
 
Sasa mkuu si ungeweka uzi wakutafta kazi,kwa tafsiri ni kwamba lisemwalo lipo ata ukipewa kazi utaharibu,unawaza mapenzi
Kuna mda tunapumzisha mawazo mkuu! Mapenz yapo tu ....
 
Kumbe hili suala nalo linahitaji wataalam
 
Ukikumbuka kula ukumbuke na kupima afya pia, sio kwa kujiachia huko.
 
Gridi ya taifa iyo ushakuwa transforma mda wowote unalipuka
 
Back
Top Bottom