Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

Wadau wa mahusiano...mimi nilikutana NA rafiki wa kike huko field sikuwa namfaham japokuwa nimesoma chuo anachosoma ...nilikuwa mwaka wa pili
Mdogo wangu soma sana achana na hizo papuchi utazikuta mbele ya safari
 
Kwa bahat mbaya hatumii hata jf n mrembo wa msuli mrefu BVM
Mkuu napata mashaka ujue wewe ni mwalimu ulikuwa SMC na huyo bidada alikuwa main ilikuwaje mkapanga nyumba moja ilihali wote mpo campus mbili tofauti.

Au nikuulize tu sehem gani hiyo ambao watu wa main na SMC wanapanga pamoja ?
 
Back
Top Bottom