Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

Mkuu, huyo Mdada hawezi kuwa anapita humu JF ? Maana kama ni member, akiona tu anafahamu kuwa ni wewe unamwanika.
 
Ukipata shukuru, hii mambo ya kuanza kucomplicate yatakugharimu.

Hizi ni zama nyingine mambo ya kalenda hakuna mkuu!
Kweli kabisa mkuuu niko pamoja na wewe
 
Wanaume hatuna shukrani tukipewa ni kosa tukinyimwa ni kosa tubadilike wanaume wa Dar
 
Sasa mkuu si ungeweka uzi wakutafta kazi,kwa tafsiri ni kwamba lisemwalo lipo ata ukipewa kazi utaharibu,unawaza mapenzi
Kuna mda tunapumzisha mawazo mkuu! Mapenz yapo tu ....
 
Kumbe hili suala nalo linahitaji wataalam
 
Ukikumbuka kula ukumbuke na kupima afya pia, sio kwa kujiachia huko.
 
Gridi ya taifa iyo ushakuwa transforma mda wowote unalipuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…