Kwa wataalamu wa Sheria hivi compensation for injury of reputation Kwa hii issue ya Membe vs Musiba imekaaje ?

Kwa wataalamu wa Sheria hivi compensation for injury of reputation Kwa hii issue ya Membe vs Musiba imekaaje ?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe.

Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki

Je, ile fidia nayo inakufa?
 
Habari JF ,Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka Kwa Membe .

Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki ,je ile fidia nayo inakufa ?

Swali zuri sana wacha na mie niilishe akili jambo la muhimu nyie wana sheria na mawakili wasomi please njooni mtujuze lipi ni lipi!
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Tena ilitakiwa familia ilipwe mara 2 maana alietakiwa kulipa hakufanya hivyo kwa wskati hadi mahakama ilivyokazia hukumu. Hivyo mlipaji nikaidi(according to mimi).

Ila kifo cha huyu mwamba Mungu ndiye mwenye siri nacho maana km sikosei Yono auction alipewa hadi trh 15 mwezi huu wa 5 ikiwa Musiba hajalipa deni basi wamfulisi, lakini daaaaaa he he he he he 😆😆😆😆
 
Tena ilitakiwa familia ilipwe mara 2 maana alietakiwa kulipa hakufanya hivyo kwa wskati hadi mahakama ilivyokazia hukumu. Hivyo mlipaji nikaidi(according to mimi).

Ila kifo cha huyu mwamba Mungu ndiye mwenye siri nacho maana km sikosei Yono auction alipewa hadi trh 15 mwezi huu wa 5 ikiwa Musiba hajalipa deni basi wamfulisi, lakini daaaaaa he he he he he [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Imeshaatoka hivyo
 
Habari JF ,Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka Kwa Membe .

Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki ,je ile fidia nayo inakufa ?
Ww ukiambiwa ununue nyumba ya musical hata kwa 500000 utathubutu
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Tena ilitakiwa familia ilipwe mara 2 maana alietakiwa kulipa hakufanya hivyo kwa wskati hadi mahakama ilivyokazia hukumu. Hivyo mlipaji nikaidi(according to mimi).

Ila kifo cha huyu mwamba Mungu ndiye mwenye siri nacho maana km sikosei Yono auction alipewa hadi trh 15 mwezi huu wa 5 ikiwa Musiba hajalipa deni basi wamfulisi, lakini daaaaaa he he he he he 😆😆😆😆
Naskia yono walifanywa kitu mbaya
 
Habari JF ,Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka Kwa Membe .

Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki ,je ile fidia nayo inakufa ?
Hiyo kesi ya madai iliyotolewa hukumu na kukaziwa haifi. Ni msuli wa mdai kusimamia ulipwaji kwa kufuata taratibu za kisheria. Mdaiwa pia anayo haki ya namna anavyotendewa kwa kuzingatia haki za binadamu.

Hata hivyo warithi wa BM kadri wanavyoibuka kusisitiza kulipwa kwa niaba ya mfu yanaweza kugeuka shubiri baadae maana mali hizo wakishazipata zinaweza kupukutika wakaanza kulaumiana wenyewe. Period!
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kwa mujibu wa sheria, haki za fidia zinaweza kurithiwa baada ya kifo cha mwenye haki. Kwa hiyo, ikiwa umeshinda kesi ya fidia lakini umefariki, haki ya kupokea fidia hiyo itarithiwa na warithi wako au watawala wako wa kisheria.

Mara nyingi, haki za fidia zinaweza kurithiwa kama sehemu ya mali ya marehemu, na zinaweza kutumiwa kulipa madeni ya marehemu na gharama za mazishi kabla ya kugawanywa kwa warithi. Warithi wanaweza kudai haki ya kupokea fidia hiyo kutoka kwa watetezi wako wa kisheria au kutoka kwa mtu ambaye ameamriwa kulipa fidia hiyo.

Ni muhimu kuzingatia kuwa haki ya kurithi fidia inategemea sheria na masharti yaliyopo, kama vile ikiwa kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa kabla ya kifo chako au ikiwa ulikuwa na warithi walio hai wakati wa kifo chako. Kwa hiyo, ni vizuri kushauriana na mwanasheria kujua haki yako ya kurithi fidia na jinsi ya kuipata kwa njia sahihi.

Kwa ujumla, haki ya fidia inaendelea kuwa halali baada ya kifo cha mwenye haki, na inaweza kurithiwa na warithi wake kama sehemu ya mali yake.
 
Back
Top Bottom