Habari zenu wandugu.
Baada ya kupata vijana wa nne ktk tangazo langu la kwanza wale wa kuchoma ashua sasa nimekuja na hili lengo likiwa ni kuinuana na kusaidiana. Kuna laki tatu hapa mfuko wa shati ambazo si nyingi kwa mwenye nazo na pia si ndogo kwa mtafutaji.
Nahitaji kijana/vijana ambaye atakuwa anataka kupata rizki yake ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku kupitia shilingi hizi.
Anachotakiwa kufanya ni:
1. Kama yeye anawazo/biashara/kazi ambayo anatamani kuifanya lakini amekosa mtaji tu na mtaji wake unaanzia elfu 50 mpaka laki3 basi aniambie PM ili tusaidiane. Ni bora kufanya kile unachokijua kwa undani zaidi kuliko cha kusukumizwa. Naweza kukulipa kwa siku, wiki au hata kwa mwezi. Kulala itakuwa juu yako kula itakuwa chini yangu.
2. Aje mtu aniambie nikimfungulia banda la kuonesha mpira akiwa na sehemu yake, ataniletea sh ngapi kwa kila siku zenye mechi?
3. Kama hayo yote hayawezi, nikimpa kuanzia elfu 50 mpaka hiyo laki3 atanirudishia faida kiasi gani na kwa muda gani.
4. Mwisho kumpa rafiki yako mtaji na kumuanzishia mtu baki ipi inajenga kwa manufaa.
Nb: hii haihusiani na hizo namba tatu za juu.
Ukipewa laki mbili utaifanyia nini na utazalisha faida kwa muda gani.
Kwa wahitaji njooni PM