Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

😲😲 Duuuh
Natamani sana kufika huko na uingineer wangu mshahara hautoshelezi kuwa huko na hata huyo mkata majani wa huko ananizidi hizo pesa anazolipwa kwa saa nimezichange yaani simpati hata robo ya robo ya anachokiingiza akifanya masaa 4 tu kwa siku
 
Mfano jaluo au mkikuyu akipata connection nje ya nchi anawavuta kabila yake na nduguze kibao sisi atabaki tu kusimulia anavyokula Bata huko aliko!!!
Wala tusiwape watu lawama sisi wabongo linapokuja suala la fursa za kimataifa ni waoga na hatujiamini kabisa Kama tungekuwa na watu aina ya Kenya na Nigeria ungeona namna ya maswali ambayo tungeuliza hapa na narudia tena huu uzi utawafaidisha sana wakenya Kama wakipitwakipita hapa
 
Natamani sana kufika huko na uingineer wangu mshahara hautoshelezi kuwa huko na hata huyo mkata majani wa huko ananizidi hizo pesa anazolipwa kwa saa nimezichange yaani simpati hata robo ya robo ya anachokiingiza akifanya masaa 4 tu kwa siku
😀😀
 
Mkuu Parabora ingependeza ungeshea nasi vile vilivyomo au vinavyopatikana ndani ya hizo night club nadhani kutakuwa na vitu vya ziada tofauti na night club zetu,,
Mkuu Club za hawa wenzetu zimesanifiwa kwa kuvutia sana ukibahatika kuingia utatamani kusikuche
 
Wala tusiwape watu lawama sisi wabongo linapokuja suala la fursa za kimataifa ni waoga na hatujiamini kabisa Kama tungekuwa na watu aina ya Kenya na Nigeria ungeona namna ya maswali ambayo tungeuliza hapa na narudia tena huu uzi utawafaidisha sana wakenya Kama wakipitwakipita hapa
Naunga mkono hoja
 
Shukrani kwa huu uzi mkuu, ipo siku nitafika huko dunia ya kwanza.. inshaallah
 
Wala tusiwape watu lawama sisi wabongo linapokuja suala la fursa za kimataifa ni waoga na hatujiamini kabisa Kama tungekuwa na watu aina ya Kenya na Nigeria ungeona namna ya maswali ambayo tungeuliza hapa na narudia tena huu uzi utawafaidisha sana wakenya Kama wakipitwakipita hapa
Kijana wa Tz akinunua Brevis anaona dunia yote yake,tofauti na wenzetu
 
Back
Top Bottom