Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

hamna, sisi tusioamini hatutoi sadaka,

sadaka si unatoa kumridhisha mungu? sisi hatuna lengo la kumridhisha mungu
Hatumridhishi Mungu yeye amesharidhika kitambo. Maana vitu vyote ni vyake. Ni njia ya kuonyesha kwa vitendo kuwa vitu ulivyonavyo vyatoka kwake.

Ni njia aliyoweka kutusaidia sisi tukajisahau na kusahau mpaji tukaanza kujiabudu na kuabudu watu au vitu.
 
ni ngumu sana kubishana na wewe matunduizi
 
Kwahiyo tunamjengea mchungaji na familia yake shule?🤔 akifa unabaki urithi wa watoto wake?

Kama ni hicyo kwanini asiende kuchukua mkopo bank? Akiwa anapata faida atarudisha
Wachungaji wengi wanawanyonya waumini
Nadhani hiyo huwa anaandaa namna nzuri ya kuwapa/kuboresha utoaji wa elimu bora kwa jamii ya waumini na jamii kwa ujumla,kwani atakapopata elimu mwaka huu mtoto wako wewe mchangiaji na atakapopata elimu mwanangu mimi kwa baadae ambaye si mchangiaji automatically kile ulichochangia wewe kitakuwa kimeingiza product bora kwenye jamii atakayokuwa anaishi mwanao so dunia itakuwa bora.

Na ndiyo maana halisi ya sadaka kwamba hutafaidika nayo wewe moja kwa moja,ni somo pana kidogo lakini huwa linaeleweka zaidi kama hizo shule zikawa ni za taasisi kubwa eg KKKT,Anglican,Islam,Catholics na mfanano wa hizo ila kwa watu kama mamposa sijui nabii nani huko ndiyo huleta ukakasi japo ukichukulia kwamba ni kwa manufaa ya jamii mzima ni jambo jema pia.
 
Tofautisha katoriki anglicana na walokole!
Hizo ministry shule sio mali ya mchungaji ni sawa tofauti na walokole kanisa shule ni mali ya mchungaji na watoto wake
 
Nadhani hiyo huwa anaandaa namna nzuri ya kuwapa/kuboresha utoaji wa elimu bora kwa jamii ya waumini na jamii kwa ujumla,kwani atakapopata elimu mwaka huu mtoto wako wewe mchangiaji na atakapopata elimu mwanangu mimi kwa baadae ambaye si mchangiaji automatically kile ulichochangia wewe kitakuwa kimeingiza product bora kwenye jamii atakayokuwa anaishi mwanao so dunia itakuwa bora.

Na ndiyo maana halisi ya sadaka kwamba hutafaidika nayo wewe moja kwa moja,ni somo pana kidogo lakini huwa linaeleweka zaidi kama hizo shule zikawa ni za taasisi kubwa eg KKKT,Anglican,Islam,Catholics na mfanano wa hizo ila kwa watu kama mamposa sijui nabii nani huko ndiyo huleta ukakasi japo ukichukulia kwamba ni kwa manufaa ya jamii mzima ni jambo jema pia.
Sadaka yake imejenga Miundombinu.
Ada zitalipa mwalimu, kununua vifaa vya kifundishia, na kuendeshea shule.
Mapato ya ziada yatatumika kunufaisha maeneo mengine ya kanisa ambayo bila mradi yangemtaka atoe sadaka.

Kutolipa kabisa sio sawa, labda kuweka discount kidogo kwa waumini. Kikitokea shule inawanafunzi 50% hawalipi Ada basi kitakuwa ishakufa aanze kulaumiana tena.
 
Back
Top Bottom