Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?
1730755862156.jpg

Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali...

'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂 Unamvizia rafiki yako asubui tu, "KISIKIO POO!" Kama ni jumapili, unavuta sikio lake kwa nyuma na unamchapa mara mbili na kidole chako cha kati...🤣🤣 na mukitaka kuacha mchezo huo, munaamua kufuta...

Kwa mtazamo wangu, T.V. zinawafanya watoto wengi kutokuwa wabunifu 🤔🤔🤔

Watoto wa zamani karibuni tutete...

😁😁😁
 
Back
Top Bottom