Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Unaulizaje hapo mwisho? (joking)Lakini mkuu, mimi siwezi kukubali kuuziwa kipande cha ngozi kilichopo kwenye mfupa kwa Tsh. 2500.Sikubali. Hahahahahaaa!Tutafika tu, ulaya kongoro unalikuta butcher limesafishwa. Unaulizwa ukatiwe?
Mkuu limbwata inatumika sana kitimoto hasa sinza na kmr sijui naoo n uchafuuSupu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.
Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.
Mathalani unamuona mtu ameshika fegi mkono mmoja na mkono mwingine anaparua kongoro na kulizamisha kwenye maji ya moto kwenye sufuria chafu.
Au unaona mama anapenga makamasi na kujifutia mikono inayoparua kongoro.
Kwakweli kongoro ni tamu licha ya mazingira mabovu sana ya mapishi na wapikaji.
Bora tu kitimoto rost na dona
Hahahaaaa akikuna kwapa unajua mkonogani anatumiaMimi ni mpenzi wa hii kitu sana ila kuna wakati hamu inanitoka kabisa mkono huohuo anapokelea pesa,huo huo anashika anakatia kongoro,hiyo tisa alijifunua akajikuna kiunoni hiyo boxer duh niliachaje manyoya?ila wapo wachache wastaarabu sana
Yaani kooooote kuna mashiko Ila mstari wa mwisho umeharibuSupu pendwa ya kongoro huwa inaandaliwa katika mazingira mabovu na mchafu sana.
Si wapishi Si masufiria ya kupikia Si vijiko na si vibanda vyao yaani uchafu uchafu tu.
Mathalani unamuona mtu ameshika fegi mkono mmoja na mkono mwingine anaparua kongoro na kulizamisha kwenye maji ya moto kwenye sufuria chafu.
Au unaona mama anapenga makamasi na kujifutia mikono inayoparua kongoro.
Kwakweli kongoro ni tamu licha ya mazingira mabovu sana ya mapishi na wapikaji.
Bora tu kitimoto rost na dona
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeua mangiAu bora kongoro la kitimoto
Nani aka tiwe?...watie hao hao waliowazoea,...kupoteza marinda na watoto wazuri bado wanazaliwa haifai mkuuTutafika tu, ulaya kongoro unalikuta butcher limesafishwa. Unaulizwa ukatiwe?
Tena ukipata pumbu LA ng'ombe pale Kwa wauza kongoro ndo hatari,mm nikienda Kwa muuza kongoro km hana pumbu LA ng'ombe naondoka.Kongoro linanipa nguvu ya kupampu
Hua wanazikwangua kwa wembe