Kwa watumiaji wa supu ya kongoro someni hapa

Hata juisi wengine wanakamulia kwapa lkn bado tunapiga na tunaishi,nn supu inayoiva jikoni mkuu!?
 
Tutafika tu, ulaya kongoro unalikuta butcher limesafishwa. Unaulizwa ukatiwe?
Dah! Unaulizaje hapo mwisho? (joking)Lakini mkuu, mimi siwezi kukubali kuuziwa kipande cha ngozi kilichopo kwenye mfupa kwa Tsh. 2500.Sikubali. Hahahahahaaa!
 
Mkuu limbwata inatumika sana kitimoto hasa sinza na kmr sijui naoo n uchafuu
 
Mimi ni mpenzi wa hii kitu sana ila kuna wakati hamu inanitoka kabisa mkono huohuo anapokelea pesa,huo huo anashika anakatia kongoro,hiyo tisa alijifunua akajikuna kiunoni hiyo boxer duh niliachaje manyoya?ila wapo wachache wastaarabu sana
Hahahaaaa akikuna kwapa unajua mkonogani anatumia

Walemabinti wanaowashwa sehemuza siri na uti unahisi anajikuna na vidole vya mguuni..yaani ukishaamua kukaa kitini we pambana na haliyako mengine wachie
[HASHTAG]#HONTUMBO[/HASHTAG]
 
Mnanyonyannyuchi bilakuujua nao nuchafu
 
Njoo upate kongoro kwa Mama k ufipa pale kongoro safi anauza kongoro zaidi ya Miaka 10 hapo....

Ova
 
Kwenye papuchi unazama chumvini ujaona uchafu , acha tunywe kongoro tukate hangover za weekend.
Ukichunguza chunguza sana utashindwa kuishi ...
 
Yaani kooooote kuna mashiko Ila mstari wa mwisho umeharibu
 
Dah!
Tuombe radhi aisee,
Yaani hata sie maustadh tule Mdudu?
 
kwa taarifa yako hapa mjini kula kitu kisafi ni apike mkeo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…