Kwa watumiaji wa supu ya kongoro someni hapa

Mbona karanga zizokaangwa na kufungwa kwenye nylon mnakula wakati wa kujazwa mle, ile nailoni hupulizwa na mtu mwenye mafua na anakoholea humohumo kisha anafunga! Si bora kongoro sababu baada ya kukwanguliwa huoshwa na kuchemshwa kwenye joto kali hadi liive.
 
Hahahahahaa hizo fitna hizo, Leo nimepikiwa mkia home Aaaghh hata haunogi Kama WA Bar
 
Maandalizi ya supu ya kongoro machafu yapo mtaani kwenu tu, kwetu ni wasafi Sana, wanaipenda kazi yao, ndo inayowaweka mjini, wanaithamini Sana.
Huko kwenu siji n'go
 

Inategemea upo wapi
 
Binafsi siwezi kuacha kwa sababu ya kusoma ulichoandika. Kama ulienda kwa wachafu ni uzembe wako
 
Watu wameshindwa kuacha gegedo za rejareja/ kuuza na kununua dada poa, wataachaje kula kongoro?

Asante kwa ushauri japo si mshabiki wa kongoro mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…