Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru.
Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya.
Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu n.k
Wasahau, wasahau kabisa.
Watumishi hawa ambao kazi yao kutongozana ofisini ndio walete maendeleo kwa wananchi? No.
Watumishi hawa ambao kazi yao ni kupiga madili kila mda ndio wapeleke maendeleo kwa wananchi? No.
Watumishi hawa ambao kazi yao kubishana kuhusu Simba na Yanga kazini ndio wapeleke maendeleo kwa wananchi? No
Watumishi hawa ambao kazi yao ni kuandaa mikeka ya kumnyoa Mhindi ndio wapeleke maendeleo kwa wananchi,? No.
Watumishi hawa ambao wanaingia kazini na pombe kichwani ndio wapeleke maendeleo kwa wananchi? No