Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

Biashara tu kama biashara zingine.
 
Ulidhibitisha wapi kama mwingira kazaa na mke WA mtu au ndo story za magazeti? Mbona wat mnapenda kushadadia vitu vya kusikia?

NABII Josephat Mwingira amedai mahakamani kwamba hayuko tayari kupima kipimo cha DNA na hawezi kulipa fidia ya Sh bilioni saba kwa sababu hajawahi kuzaa wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa Dk. William Morris.

Nabii Mwingira alidai hayo jana(19th December 2017) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Godfrey Mhini alipokuwa akijitetea kuhusu madai dhidi yake kwamba alizini na kuzaa na Dk. Philis Nyimbi ambaye ni mke wa Dk. Morris.

Hakimu: Una watoto wangapi?

Mwingira: Nina watoto sita, lakini mmoja marehemu.

Hakimu: Wataja majina.

Mwingira: Lucy, Joshua, Anna, Jonath na Glory.

Hakimu: Glory alizaliwa lini?

Mwingira: Alizaliwa 2007.

Hakimu: Nikisema kazaliwa Mei 22 mwaka 2007 utakubaliana na mimi?

Mwingira: Mimi niliyemzaa sikumbuki, wewe unatoa wapi? Alikuambia nani? Mimi siwezi kusema nakubaliana na wewe.

Hakimu: Unakumbuka mlifanya sherehe ya kupongeza kuzaliwa kwa Glory Mei 22 mwaka huo na ukampeleka Dk. Nyimbi Hoteli ya Millenium Tower?
 
Nasonga kwa stimu na ndoto kede,Dini Biashara tutafanyaje? Kama "Nabii" Mwingira kazaa na Mke wa mtu ndio iwe muimba kwaya tu ambae hana hata elimu ya biblia?
uwe na uhakika ndugu sio unajilopokesha tu din biashara wapi na wapi hata kama biashara huoni tunaipa thamani din yetu kuliko nyie bure bado wanaikimbia na kuhusu mwingira nikuambie tu ni ishu iliyotengezwa sema nyie ambao sio wapekuzi mnabaki mmezubaa na kujiongelesha tu
 
NABII Josephat Mwingira amedai mahakamani kwamba hayuko tayari kupima kipimo cha DNA na hawezi kulipa fidia ya Sh bilioni saba kwa sababu hajawahi kuzaa wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa Dk. William Morris.

Nabii Mwingira alidai hayo jana(19th December 2017) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Godfrey Mhini alipokuwa akijitetea kuhusu madai dhidi yake kwamba alizini na kuzaa na Dk. Philis Nyimbi ambaye ni mke wa Dk. Morris.

Hakimu: Una watoto wangapi?

Mwingira: Nina watoto sita, lakini mmoja marehemu.

Hakimu: Wataja majina.

Mwingira: Lucy, Joshua, Anna, Jonath na Glory.

Hakimu: Glory alizaliwa lini?

Mwingira: Alizaliwa 2007.

Hakimu: Nikisema kazaliwa Mei 22 mwaka 2007 utakubaliana na mimi?

Mwingira: Mimi niliyemzaa sikumbuki, wewe unatoa wapi? Alikuambia nani? Mimi siwezi kusema nakubaliana na wewe.

Hakimu: Unakumbuka mlifanya sherehe ya kupongeza kuzaliwa kwa Glory Mei 22 mwaka huo na ukampeleka Dk. Nyimbi Hoteli ya Millenium Tower?
Acha uduwanzi na story zako za kutengenezwa
 
Nilishawahi singiziwa natoka na mke wa mtu , na news ilitambaa Kwa Kasi kama Moto wa kifuu...aiseee nilihenya Sana kuifuta hyo skendo...ogopa Sana kusingiziwa uzinzi alaf ukawa mtu wa church...!!
 
Back
Top Bottom