Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
We naye unaongea nini?yaani mtumishi wa mungu naye awe na mahusiano ya ngono na mke wa mtu?/msichana tu bado unaona hakuna shida??baba mtoto ametoa pesa za nauli ya ndege ili mtoto apelekwe nairobi hospital muna na joeli wametumia usafiri wa barabara masaa 14 na mtoto akiwa mgonjwa bado huoni shida?!!peter anasema huyo joel mala nyingi alikuwa ana andaa matamasha kwa kutumia pesa za muna,na kibaya zaidi huyo muna alikuwa anakwenda kwa mzazi mwenzake kuomba pesa kama mkopo ili baada ya tamasha arudishe,na halikuwa harudishi!!unaposema kuwa huenda kila alichofanya muna amepewa ushauri na joeli !!basi itakuwa ndio amemuingiza chaka kwa ushauri huo daaa!!na inasemekana hata account ya instagram ya muna huyo joeri ndio alikuwa anaitumia kuandika mambo ya ajabu wakati wa msiba,na ndiyo yalizidi kuchafua hali ya hewa .huyo joer ni MARIO
Unauhakika mbona unasikiliza stori upande mmoja siku hizi mnakuwaje watu ngoja muna yaishe na yeye atoe ya moyoni hapo ndio tutajua