Maduro kakamatwa kwa sababu ya dini au sababu ya mafuta yake? Jua basi utajiri ndii unaiharibu dunia sio diniDini zinachangia sana kuifanya Dunia iemdelee kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga.
Muislam mjinga ? Ujinga wake nini?Hapa ndo naamin kuwa ili uwe Muslim, lazima mjinga kwanza. 🚮🚮
Malaria 2
Naomba kuuliza kwa nini mnapenda sana watu wengi wamche allah na kuingia peponi?
Kwa ninj msiwaache nyie muwe wachache peke yenu peponi?
Mtapungukiwa nini mkiwa wachache peke yenu peponi?
Kijana wa Genz hanyi kama wale vijana wa Gen G? Hawafi? Kama hawakogi hawanuki jasho kama wazee?Kijana wa kisasa GEN Z unamuambia mambo ya swala ya ijumaa, aache kufanya kazi akimbilie imani isiyoeleweka atapata nini si utaonekana we ni juha na una IQ ndogo tena mwendawazimu?
FAIDA YA KIJANA KUFANYA IBADAMsikitini wamejazana wazee wazee wa hovyo wasio na kazi za kufanya na ni wavivu. Kijana wa kisasa unamuambia aache kufanya kazi akimbilie swala msikitini akapoteze muda huko kizembe, si atapigwa gap na wenzake wanaojua kuutumia muda vema? Time is a money, muda wa kwenda kwenye swala utoke wapi kama si tabia ya uvivu?
Kama Uislamu una huruma Waislamu matajiri na mabilionea wangeanza kugawa mali za kwa masikini waliokuwa duniani, viongozi Waislamu wangekuwa wanatenda haki na kuacha kutesa raia, tofauti na hapo ni porojo na hadithi tu za Abunuwasi na za kufikirika za kuwapa watu matumaini hewa.Waislamu hawapendi watu wengi wamche Allah kwa sababu ya faida binafsi, wala kwa sababu Pepo ni kitu chenye nafasi ndogo. Pepo ya Allah haina mipaka, haitaisha, na haiishi kwa sababu watu wamekuwa wengi. Kwa hiyo, kuwepo kwa watu wengi Peponi hakumpunguzi yeyote chochote.
Sababu kuu ni hizi:
1. Huruma na upendo kwa binadamu
Uislamu unafundisha kumpenda mwenzako mema kama unavyojipenda wewe. Kama unaamini kumuabudu Allah kunaleta uongofu na wokovu wa Akhera, basi ni jambo la kawaida kutamani wengine nao wapate kheri hiyo, si kuificha.
2. Ni wajibu wa kimaadili, si mashindano
Kuwaalika watu kwenye kumuabudu Allah (da‘wah) ni wajibu wa kufikisha ujumbe, si wa kulazimisha. Kila mtu anachagua mwenyewe. Hakuna faida ya “kuwa wachache Peponi” kama vile ni klabu ya siri.
Mwongozo unawanufaisha watu duniani pia
3. Mafundisho ya Uislamu yanahusu haki, amani, maadili, uadilifu, na kuishi vizuri. Kumtakia mtu amche Allah ni pia kumtakia maisha bora hapa duniani, si Akhera tu.
4. Hakuna hasara kwa waumini ikiwa watu wataongezeka Peponi
Pepo si rasilimali adimu. Furaha ya mmoja haipungui kwa sababu wengine nao wamefurahi. Kila mtu atalipwa kwa matendo yake binafsi.
5. Mitume walitumwa kwa watu wote
Kwa imani ya Kiislamu, Mitume walikuja kuwaongoza watu, si kundi dogo tu. Kufikisha ujumbe ni kuendeleza jukumu hilo.
Kwa kifupi:
Waislamu hawahamasishi watu kwa sababu ya wivu au ushindani wa Pepo, bali kwa sababu ya huruma, wajibu wa kufikisha ukweli wanaouamini, na kutamani mema kwa wanadamu wote.
Sio nchi ya kiislamu lakini watu wana dini,ni busara kuheshimu ibada za watuHii si nchi ya kiislam we kobazi kafiri. Usitake kufungisha watumishi wa umma kongwa zito la uislam
Dini ndio inaifanya jamii kuwa kwenye maadili bora ya kibinadamu,haya maovu unayoyaona yangekuwa mara mbili hadi mara tatu kama watu wasingekuwa na dini,mjitahidi basi kuwa na akili za kuongeza maarifaDini zinachangia sana kuifanya Dunia iemdelee kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga.
Ni kweli ni busara kuheshimu dini za watu wengine kwa sababu watu walioshika dini sana ni kama huwa wamechanganyikiwa hasa Ile ambayo hawachelewi kukata kichwa wakiona umeifanyia dini yao mzaha au comedy au umeikosoa wasivyotaka.Sio nchi ya kiislamu lakini watu wana dini,ni busara kuheshimu ibada za watu
Huu ni ukweli misikitini wanajaa wazee tuMsikitini wamejazana wazee wazee wa hovyo wasio na kazi za kufanya na ni wavivu. Kijana wa kisasa unamuambia aache kufanya kazi akimbilie swala msikitini akapoteze muda huko kizembe, si atapigwa gap na wenzake wanaojua kuutumia muda vema? Time is a money, muda wa kwenda kwenye swala utoke wapi kama si tabia ya uvivu?