Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Nimesema kufanya kazi! Huo unaonyesha ndio ujuha wenyewe!Juha anaecha kuswali swala 5 akenda mpirani kukaa 90. Kuswali dakika 5 tu
Nimesema kufanya kazi! Huo unaonyesha ndio ujuha wenyewe!Juha anaecha kuswali swala 5 akenda mpirani kukaa 90. Kuswali dakika 5 tu
Hii sawa na wewe ukijitia kitanzi halafu polisi akakuoa. Unadhani polisi anapata faida gani kukuokoa. Si akuache tu ufe?Hapo kwenye kupata moto! Mtu akipata moto wewe utapungukiwa nini? Si muendelee na mishe zenu!
Uongo tuUtaupata moto
Pole sana kijana.Kwakuwa nyie hamna dini inayoeleweka basi mtuache sie wenye dini yenye kueleweka,msitufanye tukawa wajinga kama nyie msiemtambua Mola wenu
Nyie ndio wapuuzi mnaofikiri mnapata riziki kwa ujanja wenu,waislamu tunathimini dini yetu sana
Kustaarabika kwao kunatokana na historia na tamaduni zao lakini sio kwasababu eti hawana dini,kuna mijitu mijinga zaidi duniani kama ambayo haimjui mungu???Nchi zenye atheist wengi , kama Japan, sweeden dermack, ni kati ya nchi za watu waliostarabika mno
ina maana kuanzia saa 1 asubuhi mpaka 10.jioni upo ktk kiti tu? Au unabeba mizigo? Au unafukua mitaro tu kama wewe? Hupumziki?Nimesema kufanya kazi! Huo unaonyesha ndio ujuha wenyewe!
Nadhani wewe ndio ungestahili zaidi kwa kutojitambuaPole sana kijana.
Kumjua kivip? Dini ni chanzo kimoja wapo cha kutostaarabika ona humu mnavyotukanana kisa tu mpo dini tofautiKustaarabika kwao kunatokana na historia na tamaduni zao lakini sio kwasababu eti hawana dini,kuna mijitu mijinga zaidi duniani kama ambayo haimjui mungu???
Allah sio kwamba hata aliwahi kuwepo hai na sasa amekufa, ni kwamba hajawahi kuwepo kabisa, yuko kwenye fikra zako tu, ni dhana dhahania kama vile Sungura anayeongea.Allah hayup , babu yako bado yupo hai?
Asiekua muislam hata awe prof atakua na udhaifu flani ktk maisha. Anaweza akadanganywa na mtu hata shule hajaenda shule kwa sababu tu mchungajiNadhani wewe ndio ungestahili zaidi kwa kutojitambua
Watu mliovurugwa na dini mara zote huwa na mtazamo wa aina hii. Kwa hiyo siyo kosa lako.Nadhani wewe ndio ungestahili zaidi kwa kutojitambua
Wewe huna dini? Unaabudu niniKumjua kivip? Dini ni chanzo kimoja wapo cha kutostaarabika ona humu mnavyotukanana kisa tu mpo dini tofauti
Nafanya kazi kuanzia saa 4 hadi saa 1 moja jioni napumzika muda kulaina maana kuanzia saa 1 asubuhi mpaka 10.jioni upo ktk kiti tu? Au unabeba mizigo? Au unafukua mitaro tu kama wewe? Hupumziki?
Huna dini? Mpagani?Watu mliovurugwa na dini mara zote huwa na mtazamo wa aina hii. Kwa hiyo siyo kosa lako.
Muislam 1 mpungufu wa akili sawa na makafiri 10 maprofessor
Ni Bora binadamu mwenzie kwa sababu ni halisi na sio story za kufikirika.KUNA MJINGA ZAIDI YA YULE AMBAYE ANAMWABUDU BINADAMU MWENZAKE?
Huna akili. Umepewa akili ya kuchezea simu na kuweza kuaccess mitandao ya kijaamii. Zaidi ya hapo 0Ni Bora binadamu mwenzie kwa sababu ni halisi na sio story za kufikirika.
Unajipa moyo,nyie mnadhani mmetokea tu duniani kwa bahati mbaya,mnakuwa kama wale wapuuzi wasio amini uwepo wa Mungu au ni mmoja wapo?Watu mliovurugwa na dini mara zote huwa na mtazamo wa aina hii. Kwa hiyo siyo kosa lako.
Hizi nazo ni imani tuUnajipa moyo,nyie mnadhani mmetokea tu duniani kwa bahati mbaya,mnakuwa kama wale wapuuzi wasio amini uwepo wa Mungu au ni mmoja wapo?
Unasingisia swala la kufanya Kazi kwa bidii,je ni muda wote huwa tunafanya kazi?
Acheni ujinga ndugu zangu,mpo duniani kwa kipndi kidogo sana,msijione mmefika,ipo siku mtakufa na hizo kazi watafanya wengine,halafu utaenda kukutana na yule ambaye hujukua uwepo wake