Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Ndio,nyie mnaamini juu ya sayansi subirini tuHizi nazo ni imani tu
Ndio,nyie mnaamini juu ya sayansi subirini tuHizi nazo ni imani tu
Hapana! Na mimi ni mvaa kobazi na kuweka hina kwenye ndevu kama wewe. Umefurahi?Huna dini? Mpagani?
Una umri gani?Ni Bora binadamu mwenzie kwa sababu ni halisi na sio story za kufikirika.
😁umeongea kwa uchungu sana bwashee hivi kwani kuna ubaya gani ukaenda huko peponi peke yako?Ndio,nyie mnaamini juu ya sayansi subirini tu
Anakula kwaoUna umri gani?
Hakuna ubaya nashangaa nyie ambao roho zinawauma tukisisitiza waislamu wapate muda wa kwenda msikitini ijumaa mnaleta upuuzi wenu hapa😁umeongea kwa uchungu sana bwashee hivi kwani kuna ubaya gani ukaenda huko peponi peke yako?
Jikite kwenye hoja, achana na umri wangu.Una umri gani?
Wewe utakuwa umekimbia shule bila shaka. Nimeshakujibu tayari swali lako kwa ufasaha.Sio mvaa bukta na cheni shingoni kama mbwa wa kizunguu?
Haya ni mawazo ya watu waliokimbia umande. Ndiyo nyinyi mnaodanganywa na wahuni eti mkijitoa mhanga na kufa, mkienda ahera (ambako kimsingi hakupo) mtapewa zawadi ya mabikira 72, na mito ya pombe itatiririka kwenye vinywa vyenu!!Unajipa moyo,nyie mnadhani mmetokea tu duniani kwa bahati mbaya,mnakuwa kama wale wapuuzi wasio amini uwepo wa Mungu au ni mmoja wapo?
Unasingisia swala la kufanya Kazi kwa bidii,je ni muda wote huwa tunafanya kazi?
Acheni ujinga ndugu zangu,mpo duniani kwa kipndi kidogo sana,msijione mmefika,ipo siku mtakufa na hizo kazi watafanya wengine,halafu utaenda kukutana na yule ambaye hujukua uwepo wake
Dini inayoeleweka my foot,Kwakuwa nyie hamna dini inayoeleweka basi mtuache sie wenye dini yenye kueleweka,msitufanye tukawa wajinga kama nyie msiemtambua Mola wenu
Nyie ndio wapuuzi mnaofikiri mnapata riziki kwa ujanja wenu,waislamu tunathimini dini yetu sana
Itakua 18Jikite kwenye hoja, achana na umri wangu.
Kuna tatizo gani mtu kula kwao??Anakula kwao
Akili zako zote umemkabidhi yule Ustaadh wako aliyekufundisha madrasa.Halafu mkiristo wewe 0 kabisa akilini
Yesu kasoma shule ganiWewe utakuwa umekimbia shule bila shaka. Nimeshakujibu tayari swali lako kwa ufasaha.
Hana fikra nyingine kichwani mwake zaidi ya udini, na uchoyo kwa binadam mwenzie. Kiujumla tu waislamu hakuna tofauti na mchawi.Muislam mjinga ? Ujinga wake nini?
Ukimuona mtu anauchukia uislam atakuwa na 1 kati ya hiziHana fikra nyingine kichwani mwake zaidi ya udini, na uchoyo kwa binadam mwenzie. Kiujumla tu waislamu hakuna tofauti na mchawi.
1. Maendeleo zero
2. AKili Zero
Una maana gani unavyosema ANAMWABUDU binadamu mwenzake?? 🤔 🤔.KUNA MJINGA ZAIDI YA YULE AMBAYE ANAMWABUDU BINADAMU MWENZAKE?
Itapendeza watumishi wa umma Wagalatia, atheists na wapagani wawe wanakaimu nafasi za watumishi Kobaz kila Ijumaa kuanzia saa saba na wawe wanalipwa overtime masaa matatu wakikaimu.Siku ya ijumaa ni siku bora kwa muislam.
siku ya Ijumaa ni siku bora kuliko siku zote katika Uislamu.
Mtume Muhammad (ﷺ) amesema:
“Siku bora ambayo jua limechomoza ni siku ya Ijumaa.”
Sababu Zinazofanya Ijumaa Iwe Siku Bora
Matukio Makubwa ya Kihistoria
1. Adam (a.s.) aliumbwa siku ya Ijumaa
Aliingizwa Peponi siku ya Ijumaa
Alitolewa Peponi siku ya Ijumaa
2. Siku ya Kiyama itatokea siku ya Ijumaa
3. Swala ya Ijumaa
Ni swala ya faradhi kwa wanaume Waislamu
Hukusanya Waislamu kwa ibada na umoja
4. Saa ya Kujibiwa Dua
Kuna wakati maalumu siku ya Ijumaa ambao dua hukubaliwa
5. Msamaha wa Madhambi
Anayehudhuria Ijumaa kwa adabu husamehewa madhambi madogo ya wiki
6.Kusoma Qurani na Durood
Kusoma Suratul Kahf
6.Kusoma Swala na Salamu kwa Mtume ﷺ kwa wingi
7. Baraka na Kumbusho
Huleta baraka katika maisha
Ni siku ya kukumbushwa Akhera na uwajibikaji
KWA HIVYO TUWE NA TAHADHARI SANA NA VIKAO YA 6 MCHANA. TUNAWEZA KUKOSA SWALA YA IJUMAA.
IKIFIKA SAA 6:00 AGA KWA BOSI WAKO NENDA MSIKITINI. KAMA WEWE BOSI FUNGA KIKAO NENDA MASJID.
UKIONA MJADALA MKUBWA WAAMBIE KIKAO KIENDELEE J2 SAA 4 ASUBUHI
Na J2 iwe siku ya kazi, waislam wahudumie wananchi bure bila ya malipo na bila overtime huku wakiristo wakiwa baa wana injoyItapendeza watumishi wa umma Wagalatia, atheists na wapagani wawe wanakaimu nafasi za watumishi Kobaz kila Ijumaa kuanzia saa saba na wawe wanalipwa overtime masaa matatu wakikaimu.
Naunga hoja mkono 100%.Na J2 iwe siku ya kazi, waislam wahudumie wananchi bure bila ya malipo na bila overtime huku wakiristo wakiwa baa wana injoy