Kwa watumishi wa umma: Waislam tuwe na tahadhari vikao vya saa 6 siku ya Ijumaa

Kwa watumishi wa umma: Waislam tuwe na tahadhari vikao vya saa 6 siku ya Ijumaa

Wachina na Wazungu wako busy kufanya kazi, na maendeleo yao tunayaona. Hawana cha dini ya Ijumaa, Jumamosi, au Jumapili!
Nyinyi wajinga na masikini wa ulimwengu wa tatu, mko busy kuwaza dini na kutafuta muda mwingi wa kutegea kufanya kazi!

Mtakuja muendelee kweli na hawa watawala wenu vilaza!!
Kwakuwa nyie hamna dini inayoeleweka basi mtuache sie wenye dini yenye kueleweka,msitufanye tukawa wajinga kama nyie msiemtambua Mola wenu

Nyie ndio wapuuzi mnaofikiri mnapata riziki kwa ujanja wenu,waislamu tunathimini dini yetu sana
 
Dini ndio inaifanya jamii kuwa kwenye maadili bora ya kibinadamu,haya maovu unayoyaona yangekuwa mara mbili hadi mara tatu kama watu wasingekuwa na dini,mjitahidi basi kuwa na akili za kuongeza maarifa
Nchi zenye kiwango kidogo cha dini ndizi zenye kiwango cha juu zaidi cha maadili, uwajibikaji na kutendeana haki mfano nchi za Scandinavia Ulaya, China, Japan, Korea Kusini n.k
 
Hapo namba nne umechanganya umeanza kwa kusema dua hujibiwa umemaliza na dua kukubalika! Kipi ni kipi hapo?
 
H

Huu ni ukweli misikitini wanajaa wazee tu
Ndio maana mada hizi zinakuja. Kuwakumbusha vijana wa kiislam wasiwe kama wakiristo. Waswali swala 5 , wakifa Hawaji kuombewa na wanaharakati..uislam wake ndio utamuokoa
 
ulishawahi kufanya kazi kwenye makampuni ya wachina hawahawa waliopo nchini? Kafanye kazi halafu uwaambie naenda msikitini kuswali, jibu utalipata. Muachage uvivu kwa visingizio vya kuswali
Inamaana hawaheshimu sheria za nchi? J2 wanafanya kazi? Au wanaruhusu wakiristo wakaabudu?
 
Ni kweli ni busara kuheshimu dini za watu wengine kwa sababu watu walioshika dini sana ni kama huwa wamechanganyikiwa hasa Ile ambayo hawachelewi kukata kichwa wakiona umeifanyia dini yao mzaha au comedy au umeikosoa wasivyotaka.
Katika Uislamu huwa hatupendi ujinga,vitu vitukufu vinatakiwa kulindwa kwa heshima kubwa sana

kwahiyo ukicheza na kitabu chetu au Mtume wetu tunakuwajibisha tu
 
Katika Uislamu huwa hatupendi ujinga,vitu vitukufu vinatakiwa kulindwa kwa heshima kubwa sana

kwahiyo ukicheza na kitabu chetu au Mtume wetu tunakuwajibisha tu
Ni kwa sababu huyo Allah mwenyewe hayupo na ni hadithi tu zilizoibuka ndio maana hawezi kuwawajibisha mwenyewe wanaomchezea au ukichezea na kitabu chake
 
Ndio maana mada hizi zinakuja. Kuwakumbusha vijana wa kiislam wasiwe kama wakiristo. Waswali swala 5 , wakifa Hawaji kuombewa na wanaharakati..uislam wake ndio utamuokoa
Harakati zimeingiaje hapa ? Huyo niliyemquote amezungumzia kufanya kazi .mtu hawezi kuacha kazi akaswali mara 5 ni ujuha
 
Dini ndio inaifanya jamii kuwa kwenye maadili bora ya kibinadamu,haya maovu unayoyaona yangekuwa mara mbili hadi mara tatu kama watu wasingekuwa na dini,mjitahidi basi kuwa na akili za kuongeza maarifa
Nchi zenye atheist wengi , kama Japan, sweeden dermack, ni kati ya nchi za watu waliostarabika mno
 
ulishawahi kufanya kazi kwenye makampuni ya wachina hawahawa waliopo nchini? Kafanye kazi halafu uwaambie naenda msikitini kuswali, jibu utalipata. Muachage uvivu kwa visingizio vya kuswali
Watu ambao hawaammini Mungu huwa wako hivyo,kwahiyo ni juu ya Muislamu mwenyewe kuamua cha kufanya

Huwezi sema uvivu kwa mtu kwenda kwenye ibada ya kumuabudu Mola wake,au nawe umekuwa mpuuzi kama hao wachina?
 
Back
Top Bottom