Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwakuwa nyie hamna dini inayoeleweka basi mtuache sie wenye dini yenye kueleweka,msitufanye tukawa wajinga kama nyie msiemtambua Mola wenuWachina na Wazungu wako busy kufanya kazi, na maendeleo yao tunayaona. Hawana cha dini ya Ijumaa, Jumamosi, au Jumapili!
Nyinyi wajinga na masikini wa ulimwengu wa tatu, mko busy kuwaza dini na kutafuta muda mwingi wa kutegea kufanya kazi!
Mtakuja muendelee kweli na hawa watawala wenu vilaza!!
Nchi zenye kiwango kidogo cha dini ndizi zenye kiwango cha juu zaidi cha maadili, uwajibikaji na kutendeana haki mfano nchi za Scandinavia Ulaya, China, Japan, Korea Kusini n.kDini ndio inaifanya jamii kuwa kwenye maadili bora ya kibinadamu,haya maovu unayoyaona yangekuwa mara mbili hadi mara tatu kama watu wasingekuwa na dini,mjitahidi basi kuwa na akili za kuongeza maarifa
Ndio maana mada hizi zinakuja. Kuwakumbusha vijana wa kiislam wasiwe kama wakiristo. Waswali swala 5 , wakifa Hawaji kuombewa na wanaharakati..uislam wake ndio utamuokoaH
Huu ni ukweli misikitini wanajaa wazee tu
Vijana wachache kama hawa wanasababisha dini fulani waonekane hamnazo kumbe sio kweliSio nchi ya kiislamu lakini watu wana dini,ni busara kuheshimu ibada za watu
ulishawahi kufanya kazi kwenye makampuni ya wachina hawahawa waliopo nchini? Kafanye kazi halafu uwaambie naenda msikitini kuswali, jibu utalipata. Muachage uvivu kwa visingizio vya kuswaliSio nchi ya kiislamu lakini watu wana dini,ni busara kuheshimu ibada za watu
Inamaana hawaheshimu sheria za nchi? J2 wanafanya kazi? Au wanaruhusu wakiristo wakaabudu?ulishawahi kufanya kazi kwenye makampuni ya wachina hawahawa waliopo nchini? Kafanye kazi halafu uwaambie naenda msikitini kuswali, jibu utalipata. Muachage uvivu kwa visingizio vya kuswali
Katika Uislamu huwa hatupendi ujinga,vitu vitukufu vinatakiwa kulindwa kwa heshima kubwa sanaNi kweli ni busara kuheshimu dini za watu wengine kwa sababu watu walioshika dini sana ni kama huwa wamechanganyikiwa hasa Ile ambayo hawachelewi kukata kichwa wakiona umeifanyia dini yao mzaha au comedy au umeikosoa wasivyotaka.
Kama hatutaki hiyo pepo?Kwa kifupi:
Waislamu hawahamasishi watu kwa sababu ya wivu au ushindani wa Pepo, bali kwa sababu ya huruma, wajibu wa kufikisha ukweli wanaouamini, na kutamani mema kwa wanadamu wote.
Tena adhabu kali asije kuharibu kizazi cha waislam akawaangamizaKatika Uislamu huwa hatupendi ujinga,vitu vitukufu vinatakiwa kulindwa kwa heshima kubwa sana
kwahiyo ukicheza na kitabu chetu au Mtume wetu tunakuwajibisha tu
Utaupata motoKama hatutaki hiyo pepo?
Ni kwa sababu huyo Allah mwenyewe hayupo na ni hadithi tu zilizoibuka ndio maana hawezi kuwawajibisha mwenyewe wanaomchezea au ukichezea na kitabu chakeKatika Uislamu huwa hatupendi ujinga,vitu vitukufu vinatakiwa kulindwa kwa heshima kubwa sana
kwahiyo ukicheza na kitabu chetu au Mtume wetu tunakuwajibisha tu
Harakati zimeingiaje hapa ? Huyo niliyemquote amezungumzia kufanya kazi .mtu hawezi kuacha kazi akaswali mara 5 ni ujuhaNdio maana mada hizi zinakuja. Kuwakumbusha vijana wa kiislam wasiwe kama wakiristo. Waswali swala 5 , wakifa Hawaji kuombewa na wanaharakati..uislam wake ndio utamuokoa
Allah hayup , babu yako bado yupo hai?Ni kwa sababu huyo Allah mwenyewe hayupo na ni hadithi tu ndio maana hawezi kuwawajibisha mwenyewe wanaomchezea au ukichezea na kitabu chake
Juha anaecha kuswali swala 5 akenda mpirani kukaa 90. Kuswali dakika 5 tuHarakati zimeingiaje hapa ? Huyo niliyemquote amezungumzia kufanya kazi .mtu hawezi kuacha kazi akaswali mara 5 ni ujuha
Nchi zenye atheist wengi , kama Japan, sweeden dermack, ni kati ya nchi za watu waliostarabika mnoDini ndio inaifanya jamii kuwa kwenye maadili bora ya kibinadamu,haya maovu unayoyaona yangekuwa mara mbili hadi mara tatu kama watu wasingekuwa na dini,mjitahidi basi kuwa na akili za kuongeza maarifa
Watu ambao hawaammini Mungu huwa wako hivyo,kwahiyo ni juu ya Muislamu mwenyewe kuamua cha kufanyaulishawahi kufanya kazi kwenye makampuni ya wachina hawahawa waliopo nchini? Kafanye kazi halafu uwaambie naenda msikitini kuswali, jibu utalipata. Muachage uvivu kwa visingizio vya kuswali
Hapo kwenye kupata moto! Mtu akipata moto wewe utapungukiwa nini? Si muendelee na mishe zenu!Utaupata moto
Kwako weye wamestaarabikaNchi zenye atheist wengi , kama Japan, sweeden dermack, ni kati ya nchi za watu waliostarabika mno