Kwa watumishi wa umma: Waislam tuwe na tahadhari vikao vya saa 6 siku ya Ijumaa

Hapo kwenye kupata moto! Mtu akipata moto wewe utapungukiwa nini? Si muendelee na mishe zenu!
Hii sawa na wewe ukijitia kitanzi halafu polisi akakuoa. Unadhani polisi anapata faida gani kukuokoa. Si akuache tu ufe?
 
Nchi zenye atheist wengi , kama Japan, sweeden dermack, ni kati ya nchi za watu waliostarabika mno
Kustaarabika kwao kunatokana na historia na tamaduni zao lakini sio kwasababu eti hawana dini,kuna mijitu mijinga zaidi duniani kama ambayo haimjui mungu???
 
Ni Bora binadamu mwenzie kwa sababu ni halisi na sio story za kufikirika.
Huna akili. Umepewa akili ya kuchezea simu na kuweza kuaccess mitandao ya kijaamii. Zaidi ya hapo 0
 
Watu mliovurugwa na dini mara zote huwa na mtazamo wa aina hii. Kwa hiyo siyo kosa lako.
Unajipa moyo,nyie mnadhani mmetokea tu duniani kwa bahati mbaya,mnakuwa kama wale wapuuzi wasio amini uwepo wa Mungu au ni mmoja wapo?

Unasingisia swala la kufanya Kazi kwa bidii,je ni muda wote huwa tunafanya kazi?

Acheni ujinga ndugu zangu,mpo duniani kwa kipndi kidogo sana,msijione mmefika,ipo siku mtakufa na hizo kazi watafanya wengine,halafu utaenda kukutana na yule ambaye hujukua uwepo wake
 
Hizi nazo ni imani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…