Kwa watumishi wa umma: Waislam tuwe na tahadhari vikao vya saa 6 siku ya Ijumaa

😁umeongea kwa uchungu sana bwashee hivi kwani kuna ubaya gani ukaenda huko peponi peke yako?
Hakuna ubaya nashangaa nyie ambao roho zinawauma tukisisitiza waislamu wapate muda wa kwenda msikitini ijumaa mnaleta upuuzi wenu hapa
 
Haya ni mawazo ya watu waliokimbia umande. Ndiyo nyinyi mnaodanganywa na wahuni eti mkijitoa mhanga na kufa, mkienda ahera (ambako kimsingi hakupo) mtapewa zawadi ya mabikira 72, na mito ya pombe itatiririka kwenye vinywa vyenu!!

Na ukweli ukifa, utaoza tu kaburini! Baadaye utageuga kuwa udongo, na mifupa yako pekee ndiyo itakuja kutumiwa na wana historia miaka ijayo.
 
Kwakuwa nyie hamna dini inayoeleweka basi mtuache sie wenye dini yenye kueleweka,msitufanye tukawa wajinga kama nyie msiemtambua Mola wenu

Nyie ndio wapuuzi mnaofikiri mnapata riziki kwa ujanja wenu,waislamu tunathimini dini yetu sana
Dini inayoeleweka my foot,
Dunia ina watu zaidi ya bilioni 8, dini yenu ina watu bilioni 2 tu na wengi wao kutokana na kuzaliana, ingekuwa dini inayoeleweka ingekuwa hata na nusu ya watu wa dunia.
 
Muislam mjinga ? Ujinga wake nini?
Hana fikra nyingine kichwani mwake zaidi ya udini, na uchoyo kwa binadam mwenzie. Kiujumla tu waislamu hakuna tofauti na mchawi.
1. Maendeleo zero
2. AKili Zero
 
Hana fikra nyingine kichwani mwake zaidi ya udini, na uchoyo kwa binadam mwenzie. Kiujumla tu waislamu hakuna tofauti na mchawi.
1. Maendeleo zero
2. AKili Zero
Ukimuona mtu anauchukia uislam atakuwa na 1 kati ya hizi
1. Shoga
2.. mvuta Unga
3. Mgonjwa wa akili
 
KUNA MJINGA ZAIDI YA YULE AMBAYE ANAMWABUDU BINADAMU MWENZAKE?
Una maana gani unavyosema ANAMWABUDU binadamu mwenzake?? 🤔 🤔.

Hakuna mtu anamwabudu binadam kwenye huu ulimwengu katika upande wa giza na roho. Be smart 🧠.
 
Itapendeza watumishi wa umma Wagalatia, atheists na wapagani wawe wanakaimu nafasi za watumishi Kobaz kila Ijumaa kuanzia saa saba na wawe wanalipwa overtime masaa matatu wakikaimu.
 
Itapendeza watumishi wa umma Wagalatia, atheists na wapagani wawe wanakaimu nafasi za watumishi Kobaz kila Ijumaa kuanzia saa saba na wawe wanalipwa overtime masaa matatu wakikaimu.
Na J2 iwe siku ya kazi, waislam wahudumie wananchi bure bila ya malipo na bila overtime huku wakiristo wakiwa baa wana injoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…