erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 584
- 573
Hivi naomba mnisaidie wadau tiba ya hernia (ngiri) kwa mtoto wa kiume wa miezi 7.
Huyu mtoto amekuwa akivimba sehemu zake za siri,upande wa kulia. Uvimbe unajitokeza kwa muda mchache unapotea, na unajitokeza tena wkt mwingine
Ingawa mtoto amekuwa haoneshi h ali ya kupata maumivu yeyote.
Naomba mwenye utaalam wa hili anipe msaada
mshana jr