Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tayari mtani nakaribia karibia nitakuambiaWaoooh kwani tayari? Hongera sana mtani
Mkuu hii bado ipo kwetu umasaini sio zamani tu hadi sasa tunadumisha mila ,hakuna cha ganzi na unakatwa ukiwa mkubwa ,hili la kutokatwa mapema na ukuaji wa uume lina ukweli ,watakoa bisha wajaaribu kuwatembelea wamasai au makabila mengine yenye utaratibu huu wa kufanya tohara ukubwani waje watupe mrejeshoIko hivi govi husaidia kunenepesha na kurefusha uume lakini ukishaliondoa mapema ukuaji wa nanihii hudumaa kwa kiasi fulani hivyo kwakweli kwa faida ya mtoto ukubwani ni vema kuchelewa kidogo kwakuwa atakapochekwa wala mzazi hutajua itakuwa ni siri na maumivu yake
Zamani watoto walitahiriwa ukubwani porini tena bila ganzi....kuna ya kale bado ni dhahabu
Angel Nylon umeshamwachisha kunyonya?Kwa baby mwenye kama 7 months Jee? Mi wanangu wanachelewa kuota meno pia.
Kuna vikohozi vikavu visivyokoma hapa dawa yake ni Kijiko kidogo cha asali na kama una maziwa fresh unaweza kumchanganyia humo...hii haina madhara kabisa na kama ni mdogo zaidi humpi kwenye Kijiko bali unamlambisha
Mie wangu nilimfanyia tangu ana wiki 3. Na mtaimbo Alhamdulillah anao wa kiasi chake.Ndio mpendwa tena ilikua mwaka jana June akiwa na miezi 8 kuna mambo yakaingilia nikakwama teh nlimuambia Dr kwamba kitakua na kibamia akasema sio kweli
Mie wangu nilimfanyia tangu ana wiki 3. Na mtaimbo Alhamdulillah anao wa kiasi chake.
Mi nakumbuka wakwangu nlikua nayachanganya na maji ndo nampa.Ili kupunguza hiyo protein.Akiwa under 1yr ndo haitakiwi kwasababu protein iliyopo kwenye maziwa ni nyingi kuliko mwili wa mtoto unavyohitaji/weza ku-handle, ila above 1yr hakuna shida.
Huenda hiyo ya kibamia ni chai, kama ana kibamia ndo asili yake ha ha ha ngoja nifanye research zaidiMie wangu nilimfanyia tangu ana wiki 3. Na mtaimbo Alhamdulillah anao wa kiasi chake.
Kuja mdada juzi alikua anasema mwanae ana korodani moja hivi ikiwa hivo mtoto anakua hana shida?Tukiachana na ishu ya kutahiri ni muhimu sana kama mzazi/mlezi kumchunguza mwanao kama inasimama vema alfajiri au asubuhi, mara nyingi perfect erection ni nyuzi 45, ukiona hali ni tofauti na hiyo vema kuwahi tiba kumuokoa mtoto na uhanithi ukubwani
Mi nshawahi kusikia tena inatokeaga mtoto anazaliwa hivo ila sijui madhara yakeMmh sijawahi kusikia hii kitu anaweza kuwa na kasoro huyo..ulemavu wa korodani