kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
salute mshana jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....teh teh teh teh..na sie wenye mitala sheikh mbona tumekuza!Mzazi wa kike kumbuka haya ukiwa na mtoto mdogo/mchanga
-Acha kabisa kutumia makeups za aina zozote ikiwa ni pamoja na vipodozi, vina sumu nyingi ambayo huweza kuathiri hata ubongo wa mtoto moyo Figo mapafu hata maini na ngozi
Mafuta ya kawaida kwako na ya nazi ni bora zaidi kwenu wote wawili
Mzazi wa kiume
Chondechonde tabia ya Kuchepuka si jambo jema kabisa utamletea mtoto majoto ya ajabu yanayomuathiri mtoto, hospital mtakuwa hampungui
Kwa uzoefu Wangu ni kuanzia miezi sita
Mi sioni kama kuna shida sababu asilimia kubwa ya maziwa ni maji ndo mana yapo in liquid form.Madoctar sidhani kama wanakosea wanaposema wasipewe hadi miezi sita.Mi mwanangu kanywa maji akiwa na miezi sita sikuona kama alipata tatizo lolote.Waje wataalamu zaidi.Wadau maji ni uhai. Kiukweli mimi huwa napingana sana na wazazi au walezi wasiowapa wattoto wachanga maji ya kunywa. Hata wao huwa wanasikia kiu maana maziwa ya mama ni chakula, mtu anakulaje chakula bila maji?
Nadhani wengi wanaogopa kuwapa watoto wao maji kutokana na maandaliz yasiyo safi. Mie wa kwangu alianza kunywa maji baada ya siku 2 tangu kuzaliwa mpaka sasa ana 12yrs, Ni mtoto mwenye afya na hajawahi kulazwa kwa ajili ya homa kali alipokuwa mdogo mpaka sasa.
Ushauri wangu ingawa mie sio Dr. Maji ni muhimu kwa watoto ila zingatia usafi sana, hii husaidia mtoto kutopungukiwa maji mwilini pindi apatapo homa.
Ukweli, huwa inazuiwa kupewa maji kuhofia usafi wa maji na vyombo pia, mi mwenyewe nilianza kumpa maji akiwa na mweziWadau maji ni uhai. Kiukweli mimi huwa napingana sana na wazazi au walezi wasiowapa wattoto wachanga maji ya kunywa. Hata wao huwa wanasikia kiu maana maziwa ya mama ni chakula, mtu anakulaje chakula bila maji?
Nadhani wengi wanaogopa kuwapa watoto wao maji kutokana na maandaliz yasiyo safi. Mie wa kwangu alianza kunywa maji baada ya siku 2 tangu kuzaliwa mpaka sasa ana 12yrs, Ni mtoto mwenye afya na hajawahi kulazwa kwa ajili ya homa kali alipokuwa mdogo mpaka sasa.
Ushauri wangu ingawa mie sio Dr. Maji ni muhimu kwa watoto ila zingatia usafi sana, hii husaidia mtoto kutopungukiwa maji mwilini pindi apatapo homa.
Asante kwa hiliWadau maji ni uhai. Kiukweli mimi huwa napingana sana na wazazi au walezi wasiowapa wattoto wachanga maji ya kunywa. Hata wao huwa wanasikia kiu maana maziwa ya mama ni chakula, mtu anakulaje chakula bila maji?
Nadhani wengi wanaogopa kuwapa watoto wao maji kutokana na maandaliz yasiyo safi. Mie wa kwangu alianza kunywa maji baada ya siku 2 tangu kuzaliwa mpaka sasa ana 12yrs, Ni mtoto mwenye afya na hajawahi kulazwa kwa ajili ya homa kali alipokuwa mdogo mpaka sasa.
Ushauri wangu ingawa mie sio Dr. Maji ni muhimu kwa watoto ila zingatia usafi sana, hii husaidia mtoto kutopungukiwa maji mwilini pindi apatapo homa.
Kama upasuaji wa kwanza ulienda vizuri hakuna shida...mwisho wa mimba za operation ni nne japo kuna baadhi hupiga mpaka tanonaombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
Mwenzangu kuuchunguza muhimu. Pamoja na kuangalia kama anasimama vizuri.My nimejikuta natabasamu tuu...kwahiyo huwa unauchunguza[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji125] [emoji125]
Hahaha utakuwa unamtekenya wewe si bure BTW ni muhimu sana kumchunguza mtoto kwenye hilo eneoMwenzangu kuuchunguza muhimu. Pamoja na kuangalia kama anasimama vizuri.
Mwenyewe nikimsafisha mara utaona kadindisha, sijui huwa kinaonaga raha. Lol
Mwenzangu kuuchunguza muhimu. Pamoja na kuangalia kama anasimama vizuri.
Mwenyewe nikimsafisha mara utaona kadindisha, sijui huwa kinaonaga raha. Lol
Miaka miwili mbona kiasi hapo mama. Biashara asubuhi, ni vyema kupata watt wako ukiwa bado na mda, nafasi na nguvu ya kulea.naombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
Duuh nilikuwa hata sijui mwee, so ukishazaa kwa operation ndo utaendelea kuzaa kwa operation tu?Kama upasuaji wa kwanza ulienda vizuri hakuna shida...mwisho wa mimba za operation ni nne japo kuna baadhi hupiga mpaka tano
Kwa uzoefu Wangu ni kwamba kama ukishaanza na operation basi itakuwa hivyo hivyo kwa mimba zitakazofuatia BTW binafsi napenda kukushauri usubiri kidogo
Hahaha haya banaNdio mashine inabaki na kazi nyingine
Na kama ni wale identical twins ni shida zaidi hasa kwenye kuumwa lazima akianza mmoja akipona tu mwenzake anapokeaAiseeeee kulea kazi, hasa twins!!
Inafika kipindi unatamani kulia.
Ahsante kwa mada nzuri, naifatilia kwa karibu.