Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mmh hivi kuna ukweli hapo? kwa mara ya kwanza nimesikia juzi kwa lara 1 kwenye ile mada yake ya wema. Na mara ya pili ndo hii naisikia kwako.
Hebu Eve nipe uzoefu wako baada ya kujifungua, nipe kwa private kama hapa soo
Naingilia mada bila ruhusa
Kiukweli mashine hutanuka wakati wa kujifungua lakini baada ya muda na kwa kufuata miongozo ya wataalam ngoma hurudi pale pale japo yaweza kuwa sio tight mark tena
 
Kwa vile tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake, binti Ngabu alipozaliwa ilibidi nifunike soketi zote za umeme ambazo hazitumiki ili kuepusha binti kuzichokonoa na kurushwa na umeme.

Vifuniko vya hizo soketi wala si bei ghali sana hususan ukizilinganisha na gharama ya madhara ya kutokuzifunika.

Kwa hiyo wazazi kumbukeni hilo pia.

dd23c5a9-6cbd-47fa-ab6a-56af524b94c6_145.jpg
 
Juma l8lilopita nimesafiri mkoani kikazi, nilikaa siti jirani na dada mmoja ana mtoto bado mchanga, aisee anampa chipsi mayai mtoto hataki, kakabana katoto anakandakanda chipsi anasokomeza chipsi yaan hadi hasira …nikamuuliza swali huyo mtoto ni wakoooo au? kajibu wa kwangu, nikamwambia haumtendei haki kbs, kwa bahati nzuri akina mama wakaingilia kati kumpa elimu juu ya malezi sahihi
Tatizo kubwa ni kwamba siku hizi mabinti wengi hawana elimu ya uzazi na malezi na pia hata hao wanaokuwa tayari kuipata hukutana na wakunga au watoa elimu vimeo
Mimba za gesti malezi chumba kimoja cha kupanga pia ni tatizo kubwa
 
Kwa vile tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake, binti Ngabu alipozaliwa ilibidi nifunike soketi zote za umeme ambazo hazitumiki ili kuepusha binti kuzichokonoa na kurushwa na umeme.

Vifuniko vya hizo soketi wala si bei ghali sana hususan ukizilinganisha na gharama ya madhara ya kutokuzifunika.

Kwa hiyo wazazi kumbukeni hilo pia.

dd23c5a9-6cbd-47fa-ab6a-56af524b94c6_145.jpg
Zinapatikana wapi hizi Nyani Ngabu? Bei yake je?
 
hii ni kwa watoto kuanzia miezi mingapi maana kitunguu uwa kinamakali yake watumiaji wanafahamu
Unampaka kidogo sana tena kwa kuchovya kidole chako tuu wengine hulia nonstop tangu siku anaingia nyumbani toka hospital
 
Unampaka kidogo sana tena kwa kuchovya kidole chako tuu wengine hulia nonstop tangu siku anaingia nyumbani toka hospital
mi na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboa
 
Mtoto anaelia sana nyakati za usiku hali ya kuwa haumwi

Haltiti
Kaafur mait
Mavi ya tembo

Changanya dawa hizo changanya na mafuta ya zaitun kisha mpake kiasi kidogo utosini, tatizo litakwisha
hizi kaafur mait na haltiti zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kiarabu au mavi ya tembo niko serengeti kupata ni rahisi
 
I wish wadada wote wangejua madhara ya hii kitu

dada mchungaji Heaven Sent upo? tusaidie kuwahubiria wadada madhara ya hii kitu bana
Hahaaaa mkuu sijachanganya, nataka dada mchungaji Heaven Sent asaidie kuhubiria wadada huko kanisani mkuu

Ila basi ngoja nikapaedit vizuri pasilete impression kama uliyofikiria wewe, teh teh
My kaka tutatoka nje ya uzi ujue, huku tudeal tu na watoto kwanza, tusubirie uzi husika
 
mi na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboa
Sangoma hili kwangu ni maji marefu naomba onana na wataalam sahihi wa watoto lakini jaribu
-mafuta ya mzeituni
-mafuta ya nazi
Usimchanganyie mtoto madawa mengi kwa umri huo
 
Sangoma hili kwangu ni maji marefu naomba onana na wataalam sahihi wa watoto lakini jaribu
-mafuta ya mzeituni
-mafuta ya nazi
Usimchanganyie mtoto madawa mengi kwa umri huo
shukrani sana bro nitaendelea kutafuta msaada nikipata majibu nitarejesha kwa faida ya wengine pia
 
hizi kaafur mait na haltiti zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kiarabu au mavi ya tembo niko serengeti kupata ni rahisi
Nisingeshauri sana mavi ya tembo! Kuna post nilishawahi kuweka hapa kuhusu hayo mavi ngoja nitaitafuta! Sometimes yanabeba mambo mengine kwenye ulimwengu wa roho
 
Nisingeshauri sana mavi ya tembo! Kuna post nilishawahi kuweka hapa kuhusu hayo mavi ngoja nitaitafuta! Sometimes yanabeba mambo mengine kwenye ulimwengu wa roho
ubarikiwe sana bro Mungu akuzidishie roho ya wema
 
Back
Top Bottom