Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Kama kuna siku umeongea jambo la maana ni hili wazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anaona mwanae ana korodani moja basi acheki hernia(ngiri). Kwa kawaida mtoto mchanga korodani hudevelop ndani ya mwili na anapozaliwa ndani ya siku chache basi zinashuka na yale matundu yaliyozipitisha katika pubic bone huziba. Hernia ni hitilafu inayotokea katika pubic bone kwamba hapako imara hivo pakiachia basi yafuatayo hutokea.Kuja mdada juzi alikua anasema mwanae ana korodani moja hivi ikiwa hivo mtoto anakua hana shida?
Asante sana fundi mmh fundichupi kwa ufafanuzi mzuriKama anaona mwanae ana korodani moja basi acheki hernia(ngiri). Kwa kawaida mtoto mchanga korodani hudevelop ndani ya mwili na anapozaliwa ndani ya siku chache basi zinashuka na yale matundu yaliyozipitisha katika pubic bone huziba. Hernia ni hitilafu inayotokea katika pubic bone kwamba hapako imara hivo pakiachia basi yafuatayo hutokea.
1. utumbo kupita na mhusika kuona uvimbe ambao pindi akilala chali basi hupotea.
2. korodani kujivuta na kurudi ndani
3. kupata maumivu pindi akiinama ama kukaa mkao unaojibana sehemu nyeti.
na hizo juu ndio dalili ama tuseme tunachoita hernia.
Tiba nzuri ya hernia ni upasuaji na kuwekewa patch sehemu iliyoadhirika. Namna ya kuizuia ni usifanye kazi ngumu ya kuinua vitu vizito ama kusimama kwa mda mrefu eneo moja.
Kuna baadhi ya wazazi na walezi kwa kutofahamu au kwa kutaka sifa hufanya hivi,lakini madhara ni makubwa kuliko faidaSuala la kupeleka mtoto boarding schools nimelikataa na limeleta ugomvi nyumbani kwangu. Akianza kidato cha kwanza atakwenda bweni kwasasa day care inatosha.
@mshanajr hebu njoo ujibu hili jambo limezua ugomvi kwa majirani zanguMshana Jr tafadhali jibu issue hiyo. Ni muhimu kwani nina mtoto wangu alinyolewa nywele mpaka sasa ni miezi kama sita hazijaota. Ni sehemu ndogo kichwani iliyonyolewa siyo rahisi kwa mtu aliyembali kuiona hiyo sehemu. Nashukuru saana ukitia neno. Ahsanteni
Wala huhitaji kugombana na mtu kama mtoto yuko salama nitakuja na post yake!nywele za watoto hutumiwa na washirikina kwenda kufanya yao kwa wengine ila huelekezwa ni nywele za aina gani na za mtoto wa aina gani zinafaa !!!cha muhimu ni kumkabidhi mtoto mbele za mikono ya Mungu bila kusahau ibada zaka na matoleo@mshanajr hebu njoo ujibu hili jambo limezua ugomvi kwa majirani zangu
shukrani mkuuNa ukipata mafuta ya mzeituni pia hayana madhara yoyote na yanasaidia katika mambo madogomadogo kwa watoto hata watu wazima
Nimebaki nashangaa tu. Huyu mshana jr ni nani mpaka kuulizwa maswali yanayohitaji mtaalam kuyajibu? Mambo mengine anayatolea tiba ya jumla. Kwa mfano dawa ya mtoto anayeshtuka na kulia usiku ni kitunguu twaumu!! Yaani kinatibu tu hata kama mtoto anamwa lakini hawezi kusema? hata kama kanyonya sana halafu hajacheulishwa tumbo likajaa gesi? hata kama anaogopa giza? hata kama ni mtoto mchungu kwa asili (difficult child)??? Nywele kutokuota nazo ushirikina? Wi!
NANDERA Usijaribu kupotosha nilichoandika kuhusu kitunguu saumu soma kwa umakini kila nilipojibu na kila nilichojibuNimebaki nashangaa tu. Huyu mshana jr ni nani mpaka kuulizwa maswali yanayohitaji mtaalam kuyajibu? Mambo mengine anayatolea tiba ya jumla. Kwa mfano dawa ya mtoto anayeshtuka na kulia usiku ni kitunguu twaumu!! Yaani kinatibu tu hata kama mtoto anamwa lakini hawezi kusema? hata kama kanyonya sana halafu hajacheulishwa tumbo likajaa gesi? hata kama anaogopa giza? hata kama ni mtoto mchungu kwa asili (difficult child)??? Nywele kutokuota nazo ushirikina? Wi!
hapa tunabadilishana uzoefu mkuu.sio anachosema mshana au yeyote basi ndio final.hapana.kila mtu yupo huru kuongeza chcchote.Nimebaki nashangaa tu. Huyu mshana jr ni nani mpaka kuulizwa maswali yanayohitaji mtaalam kuyajibu? Mambo mengine anayatolea tiba ya jumla. Kwa mfano dawa ya mtoto anayeshtuka na kulia usiku ni kitunguu twaumu!! Yaani kinatibu tu hata kama mtoto anamwa lakini hawezi kusema? hata kama kanyonya sana halafu hajacheulishwa tumbo likajaa gesi? hata kama anaogopa giza? hata kama ni mtoto mchungu kwa asili (difficult child)??? Nywele kutokuota nazo ushirikina? Wi!
naongelea usahihi wa taarifa mkuu. Niliogopa baada ya kuona kuna watu wameonyesha kuamini baadhi ya tiba na wanafikiria kwenda kujaribu kwa watoto. Si salama.hapa tunabadilishana uzoefu mkuu.sio anachosema mshana au yeyote basi ndio final.hapana.kila mtu yupo huru kuongeza chcchote.
Sawa Lakini sio kwa muktadha wa post yako hapa hatubishani bali tunaelimishananaongelea usahihi wa taarifa mkuu. Niliogopa baada ya kuona kuna watu wameonyesha kuamini baadhi ya tiba na wanafikiria kwenda kujaribu kwa watoto. Si salama.
bath thawaSawa Lakini sio kwa muktadha wa post yako hapa hatubishani bali tunaelimishana
Ishu ya watoto siku hizi ni case sensitive!