Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Hivi ukiwwa na mtt mbishi sana kila kitu anare act mfano kuoga, kula, kuvaa hata kulala unaishi naye vipi ili usimuathiri kwa kumpiga. Msaada pls ana miaka mitatu kasoro
 
Hivi ukiwwa na mtt mbishi sana kila kitu anare act mfano kuoga, kula, kuvaa hata kulala unaishi naye vipi ili usimuathiri kwa kumpiga. Msaada pls ana miaka mitatu kasoro
Wewe ni mzazi au ni mlezi? Kama ni mzazi ni tatizo la makuzi saa nyingine kizalia na kurithi ukimfanyia Ubabe atazidi kuharibika
Ila kama ni mlezi tu kuna kitu anakikosa hasa toka kwa wazazi
 
Maalum kwa watoto wa kiume
Si vema kumuwahisha tohara mtoto. ..hii ni kwa faida yake ukubwani, tohara inayowahi husababisha vibamia
Mkuu hii kitu ina ushahidi wa kisayansi kweli? Manake mi nilichanjwa mapema sana lakini alhamdullah mashine saizi ya ujivuni..
 
Suala la kupeleka mtoto boarding schools nimelikataa na limeleta ugomvi nyumbani kwangu. Akianza kidato cha kwanza atakwenda bweni kwasasa day care inatosha.
Nakuunga mkono mia kwa mia. Zaidi ya madhara anayoweza kukumbana nayo huko shule unamnyima mtoto na wewe mzazi mwenyewe nafasi ya kubond.. I believe the best moments in life includes watching your little ones grow up popping in and out the doors making demands on you kukuletea mashtaka etc .vitu hivi vyote utavikosa ama utavipata kwa uchache sana mwanao akiwa boarding school.. Unampeleka mtoto huko he comes back a stranger unashangaa imekuaje tena..
 
Kwakweli sijui ninini kilichopo nyuma yake lakini ukimpaka mtoto tumboni kwenye nyayo na viganjani tatizo linaisha na huu sio ushirikina
Asante sana kwahii shule mkuu. Kuna siku ambapo mwanangu husumbua sana usiku for seemingly no reasons at all kwan anakuwa amenyonyeshwa na mamake vilivyo. Asante tutajaribu hii makitu ya vitunguu saumu
 
Mkuu hii kitu ina ushahidi wa kisayansi kweli? Manake mi nilichanjwa mapema sana lakini alhamdullah mashine saizi ya ujivuni..
Imagine ungecheleweshwa kidogo sijui ingekuwaje sasa...anyway hili jambo lina ukweli wake kwa kiasi fulani
 
kwa watoto wasiokulà ñin kifañyike? maana wàngu ni shiida. hatà nibadilish3 chakula wàp, nikimuulizà unatàkà kula nini ñikimpikia bado hali. nàimbà ñyimbo zote hadi koo linàkaukà lkn wap. dawà za minyoo nàmpà kila bàada ya miez mitatu. asubuh nikimlisha hilo toñge là mwisho hadi nàmfikisha shuleb bàdo hàjàmezà. ñiliàmbiwa ñiw3k3 tangàwiz lkn haijasaidia dàwa zà wazungu za kuoñgezà hàm nishàtumia sana. ushaur pls!!!
 
Mwnangu analia sana usiku akilalamika uso wote kuwasha.akiamka asubuhi kwenda shule yupo safi.kwa sasa anasoma drs la ii,nimempeleka hospital amechekiwa wanasema hana tatizo..taf..sijui nifayeje.cc Mhshana jr
 
Ulaji kwa watoto chini ya miaka mitano ni changamoto ila kuna mambo mengi inapasa kuchunguza ili ku kufahamu sababu na kukabiliana nazo kama mtoto anapata joto,rash,anatapika,anakohoa,anakataa chakula muda wote au kuna nyakati tu.Sababu zinaweza kuwa Meno,Minyoo,Kupewa maji mengi au juice au maziwa natumbo lake ni dogo,Kuwa na afya dhaifu,Mafua,Kifua,Joto kali,Kutokwa jasho kwa wingi,Kumuanzisha vyakula vigumu ambavyo kwake ni vigeni anahitaji kupewa kidogo kidogo hadi azoee,Kuchoka,Vidonda kooni vinamfanya ashindwe kumeza,Chanjo mbalimbali nyingine husababisha homa,mumps,Rash,Kuharisha na kama haya yataendelea kwa siku mbili mpaka tatu ni vema kumuona daktari ili apatiwe tiba kwa tatizo la upungufu wa damu ambalo pia huleta shida kubwa ya ulaji na kuwa pale,mikono na miguu kuwa baridi ukimlinganisha na watoto wengine apewe vyakula vyenye madini ya chuma kwa wingi,mama ahakikishe anazuia yeye anakua na damu ya kutosha akiwa mjamzito ili asimpe udhaifu mtoto atakaezaliwa,mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama angalau mwaka mmoja wa kwanza na ikiwa haiwezekani apewe fomula zenye madini ya chuma kwa wingi na anayekula apewe maharage makavu yapikwe,Soya ,Samaki,Kuku,Bata mzinga,,siagi ya karanga,Spinach,mboga za majani kwa wingi Tujizuie sana kuwapa maziwa ya ng'ombe watoto chini ya mwaka mmoja,tujitahidi sana kuwapa vyakula vyenye vyanzo vya vitamin C kwa wingi machungwa,mananasi nkTusicheze na afya za watoto tunapoona dalili tofauti yoyote twende hospitali na TUSIACHE KUWAPELEKA WATOTO KLINIK KUPIMA UZITO KILA MWEZI HADI AFIKE MIAKA MITANO MAMBO MENGI YANAFUNDISHWA MIMI NASHAURI HIZI ZA SERIKALI MAANA CHANJO NYINGI HUTOKEA NA NIMEJIFUNZA HUWA ZIPO SERIKALINI UNAKUTA MTOTO ANAEENDA PRIVATE ANAKOSA NI HATARI NA HATA TAARIFA HAKUNA.
 
Mwnangu analia sana usiku akilalamika uso wote kuwasha.akiamka asubuhi kwenda shule yupo safi.kwa sasa anasoma drs la ii,nimempeleka hospital amechekiwa wanasema hana tatizo..taf..sijui nifayeje.cc Mhshana jr
Tumia mafuta ya mzeituni na kitunguu saumu
mpake usoni hivyo vitu
 
Hili jambo nimekuwa najaribu kusema lakini wazazi wetu yani wakwe na mama zetu huchangia sana kuumiza watoto ktk eneo hili kwa kisingizio mtoto anahitaji joto mtoto huwa hasikii joto wanashindwa kuelewa dar ni tofauti pengine na mkoani ulipozaliwa wewe au bibi huyo alipokuzia watoto wake wengine unaenda clinic daktari anakushangaa jinsi ulivyomjaza mtoto nguo nyingi kabaki macho tu.wazazi tuwe makini hawa ni wakubwa zetu ila panapobidi kuwaelewesha tufanye hivyo vinginevyo ni sisi ndio tunakuja kupata shida na watoto wetu badae.
Mie mtoto wangu mchanga hapendi joto kama nini vile.
 
Kwa mtoto ambaye hapendi joto jitahidi kumpunguzia nguo ziwe nyepesi,hata kama hatoki jasho mpe vimiminika vya kutosha pia unapokua naye nje ya nyumba jitahidi kumzuia asipate jua la mojakwamoja,nguo zake ziwe angavu na za pamba nyepesi,usimwache mtoto kwenye chumba chenye joto peke yake huwa wanaathiriwa na joto haraka hata kuzimia kama bado ananyonya mnyonyeshe zaidi kuliko siku za kawaida na pia mchemshie maji ya kunywa na uyapooze mpe mara kwa mara ,usiku akiamka mpatie maji pia anaweza kuwa na kiu,ukimuona anapumua haraka haraka moyo unamwenda mbio ni dalili ya kupoteza maji mwongezee vimiminika,chumba cha kulala kiwe na hewa ya kutosha,mtoto akitoka rashes au malengelenge kwa ajili ya joto usiyapasue mwagie maji vuguvugu na kumpaka dawa sehemu zulizopata tatizo shingoni,nyuma ya magoti,sehemu za nepi,makwapani hakikisha unamsaidia kukaa kwenye kivuli muda mwingi na kutumia mwavuli.pia mafuta ya mzeituni yanasaidia sana ngozi ya mtoto iliyopata atharibza joto
 
Mie mtoto wangu mchanga hapendi joto kama nini vile.
Kuna kitu kimoja muhimu sana cha kuzingatia kwa mtoto mdogo chini ya mwaka mmoja
Kama tujuavyo mtoto hukaa tumboni mwa mamaake miezi 8-10 hivyo basi anakuwa hajatimiza majira ya miezi 12
Lakini pia kama mzazi au mlezi lazima uzingatie tarehe ya kuzaliwa kwa mtoto mpaka anapotimiza mwaka mmoja
Maana yake ni kwamba tangu aingie duniani siku ya kwanza inabidi apitie vipindi vyote vya miezi 12 joto kipupwe baridi kiangazi nk...ni kipindi hiki mtoto hukutana na mazingira ya kila aina kwa mara ya kwanza!!!kwahiyo si mara zote mtoto ni wa kupeleka hospital, mabadiliko ya nyakati na majira kwa mara ya kwanza humuathiri mtoto kwa njia moja au nyingine. ..ndio hapa vitu kama mafuta ya mzeituni na kitunguu saumu hufanya kazi
 
Hivi mechanism ya mtoto kusikia usingizi na kulia ipoje,then kuna maneno ya Kubemenda ni kweli hiyo issue ipo au ni uongo?
Naomba niongelee kuhusu kubemenda
Tulikuwa na mada humu kuhusu kubemenda lakini ikapata upinzani mkali kuwa hakuna kitu kama hicho
Lakini kiuhalisia ni kwamba si vema na haishauriwi kabisa kumchanganyia mtoto majoto ya watu wengine si kwa mama wala kwa baba
Ngono uifanyayo na mwanamke/mwanaume mwingine hubeba nguvu isiyolingana na kiwango cha uhai kihisia na kiroho cha mtoto hivyo kuathiri kwa kiwango kikubwa makuzi ya mtoto
 
Back
Top Bottom