Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hii ndo naisikia leo mpnz, ngoja namie nisubiri majibuWakuu hii mada ni endelevu tusiisuse kwa ustawi wa watoto wetu...
Leo nimeipata hii, naomba kwa waliowahi kuisikia watupe ufafanuzi.
Je ni kweli kwamba mtoto anaweza kupata homa ya manjano akifunikwa na kanga au kitenge cha njano???
Wapi mshana jr, Evelyn Salt na wengineo mkujeee...
charminglady asante kwa hili tumewaomba saana Moderator na Invisible waiwekee kipini isipotee lakini naona kimya kabisa...kwetu sisi ni mada muhimu sanaWakuu hii mada ni endelevu tusiisuse kwa ustawi wa watoto wetu...
Leo nimeipata hii, naomba kwa waliowahi kuisikia watupe ufafanuzi.
Je ni kweli kwamba mtoto anaweza kupata homa ya manjano akifunikwa na kanga au kitenge cha njano???
Wapi mshana jr, Evelyn Salt na wengineo mkujeee...
Nikipata tatizo Hilo Kwa wanangu la chakula kimoja daily ikabidi ni tengeneza ratiba ya chakula Kwa nyumba nzima!!! Sasa wenyewe wanajua Leo kitu fulani!! Na kila miezi 3 na jaribu kubadilisha kidogo!!Hili la chakula aina moja teh ni shida utadhani kuna ratiba ya kupewa uji, watoto tunawaonea kuwapa uji kila siku kila siku ndo maana hata wanakua wanasumbua kuunywa
Hii ndio kwanza naisikia leo, Ila hii haina ukweli kabisa!! Zaidi ya shirki!!Wakuu hii mada ni endelevu tusiisuse kwa ustawi wa watoto wetu...
Leo nimeipata hii, naomba kwa waliowahi kuisikia watupe ufafanuzi.
Je ni kweli kwamba mtoto anaweza kupata homa ya manjano akifunikwa na kanga au kitenge cha njano???
Wapi mshana jr, Evelyn Salt na wengineo mkujeee...
Nimepitia pitia pitia na kukutana na haya machache yanayoambukiza homa ya manjanoMmh hii ndo naisikia leo mpnz, ngoja namie nisubiri majibu
Tunahitaji kueleweshana sana kuhusu hili hata huko mitaani na kwenye maofisi yetujukumu la wengi ni kuzaa kulea atajilea mwenyewe kama mtoto wa bata
mfano mzazi kumruhuu mtoto kumiliki simu naona hapo kuna hatari kubwa mbiliTunahitaji kueleweshana sana kuhusu hili hata huko mitaani na kwenye maofisi yetu
Watoto wengi wanakosa malezi sahihi kwasababu tu ya upuuzi wa wazazi ambao hawakuwa au hawakujiandaa kuwa na watoto
Nakubaliana na wewe katika hili kuna upendo wa faida na upendo wa hasara simu kwa mtoto mdogo ni upendo wa hasaramfano mzazi kumruhuu mtoto kumiliki simu naona hapo kuna hatari kubwa mbili
1.kwakuwa mtoto bado mdogo hatokuwa na matumizi ya maana ktk simu zaidi ni mambo ya hovyo
2.phone radiation ubongo wa mtoto ni rahisi sana kupata madhara ya mionzi kuliko mtu mzima
Unaweza beba sasa.naombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
Unayosema ni kweliWadau maji ni uhai. Kiukweli mimi huwa napingana sana na wazazi au walezi wasiowapa wattoto wachanga maji ya kunywa. Hata wao huwa wanasikia kiu maana maziwa ya mama ni chakula, mtu anakulaje chakula bila maji?
Nadhani wengi wanaogopa kuwapa watoto wao maji kutokana na maandaliz yasiyo safi. Mie wa kwangu alianza kunywa maji baada ya siku 2 tangu kuzaliwa mpaka sasa ana 12yrs, Ni mtoto mwenye afya na hajawahi kulazwa kwa ajili ya homa kali alipokuwa mdogo mpaka sasa.
Ushauri wangu ingawa mie sio Dr. Maji ni muhimu kwa watoto ila zingatia usafi sana, hii husaidia mtoto kutopungukiwa maji mwilini pindi apatapo homa.
My kunyonyana ndimu ndo nn?Nimepitia pitia pitia na kukutana na haya machache yanayoambukiza homa ya manjano
-Ngono isiyo salama na bila kinga
-kunyonyana ndimu
-Kuwekewa damu isiyo salama
-kuchangia vitu vyenye ncha kali
Nb: mama mjamzito mwenye maambukizi ya ugonjwa wa manjano huweza kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua