Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

mi na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboa
Hilo tumbo ni kawaida tu huwa linaacha kuuma akifikisha miezi 3,wala halina dawa hasa hasa unamsaidia tu kupunguza maumivu kwa kumfanyia massage ya tumbo, unaweza kuwa unamkunja miguu umemlaza chali miguu unaifanya kama anaendesha baiskeli unaikunja huku inagusa tumbo lake hii inamfanya ajikamue kutoa hewa na maumivu yanapungua, au pia unamlaza na tumbo huku unampiga piga mgongo kwa ubapa wa kiganja inasaidia sana
 
Ni kweli. Wa kwangu alikuwa hivi hivo hadi kitovu kinakuja juu. Dr akaniambia nimcheki hadi miezi mitatu.

Sikumpa dawa, zaidi nilikuwa namfanyia masaji kdg kdg kwa mafuta ya nazi.

Na kweli alipoingia tu miezi mitatu akawa yupo fresh na kitovu chake kimerudi vizuri.
 
Jamani naombeni msaada.mwanangu mara ya pili anpimwa anaambiwa damu chafu.anatoka vipele hasa wakati wa joto.sasa hospital wanampima full blood picture wanasema tatizo ni mchafuko wa damu.sasa msaada mwenye ujuzi w hili tatizo
 
Yap miezi mitatu huwa linapoa walau hakuna haja Ya kumpa mtoto madawa madawa
 
Jamani naombeni msaada.mwanangu mara ya pili anpimwa anaambiwa damu chafu.anatoka vipele hasa wakati wa joto.sasa hospital wanampima full blood picture wanasema tatizo ni mchafuko wa damu.sasa msaada mwenye ujuzi w hili tatizo
Mtoto ana umri gani? Unampa vyakula vya makopo? Mama ni mtumiaji wa vipodozi na makeups? Mtoto anapata maji ya kunywa ya kutosha?
 
Mtoto ana umri gani? Unampa vyakula vya makopo? Mama ni mtumiaji wa vipodozi na makeups? Mtoto anapata maji ya kunywa ya kutosha?
ana mwaka mmoja na miezi9'mama yake c mtumiaji makeup kbisaa.vyakula anakula vya kawaida tu sema asubuh ni uji wa ulezi au maziwa mchana mhanganyiko na anakula vizuri sana.hakatai kul hata kidogo.maji anakunywa sana.hata akiamka asubuh tu kutoka kitandani anadai maji na tumemshamzoea so tunmuwekea maji mezani usiku 'akiamka asubuh anamimina anakunywa hata nusu grass
 
Basi naomba nisifanye guess work kwenye mwili na afya ya mtoto naamini tuna wataalam wengi watakuja na suluhisho sahihi zaidi
 
Basi naomba nisifanye guess work kwenye mwili na afya ya mtoto naamini tuna wataalam wengi watakuja na suluhisho sahihi zaidi
yaaan ili tatizo linanichanganya mno.mara ya tatu wanampa dawa zilezile na kumpima damu tu.sasa nashindwa elewa kama ni serious problem au ni kawaida tu.maan dogo anapata homa kali 'anatapika.sema kwa kua ni mtundu anakua mchangmfu tu.ila hii hali kama mzazi inanipa wasiwasi mno.
 
Naomba ujaribu hospital za wahindi posta na kariakoo wanaweza kuwa na dawa zao mimi nina moja lakini sijui kama ni recommended kwa umri huo subiri nitakuwa dar next week tuone
 
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki
Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii maalum ya watoto

Kumlea mtoto tangu kutungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa na hatimaye kulelewa mpaka kuvuka kile kipindi cha hatari si jambo dogo. Changamoto ni nyingi hasa na zingine hatujui jinsi ya kuzitatua lakini tukiwa na hii mada hapa jukwaani tutashirikishana na kujuzana mengi kwa haraka na uhakika zaidi.

Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji daktari au ufumbuzi wake ni kama huduma ya kwanza kabla hujapata usaidizi mwingine. HII NI TOFAUTI NA JF DOCTO.

Kwa mfano, ufanyeje;

-Mtoto anapolialia
-Mtoto anapopata gesi tumboni
-Mtoto anapopaliwa kila akila chochote
-Mtoto anaposhtuka shtuka usiku na kulia sana nk k

Hatari zimnyemeleazo mtoto;
-Umeme
-Maji
-Moto
-Mwanga wa Tv
-Simu, mawimbi yake
-Vyombo na vitu mbalimbali
-Madawa na vipodozi nk nk

Hii ni mada pana yenye mambo mengi mno.

Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.

Mambo ni mengi...

IKIWAPENDEZA ITAKUWA NI MADA MAALUM YA WATOTO..

Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha..!
kwel Mtani. maana tumebaki kuzungumzia mada zingine tu
Avacheee
 
Nimelazimika kukimbilia huku mara moja tuelimishane kuhusu hili
Kuna mdau kaweka Post ya kutafuta shule ya boarding kwa mwanae wa miaka mitatu
Sijui amepata masahibu gani ila nimeumizwa mno na hili jambo
Ni wazi tuna Changamoto za malezi na mahusiano lakini vyovyote viwavyo tusiwaache watoto wadogo kwenye uangalizi wa mlezi tena shule moja kwa moja
Unaweza ukampeleka day care ili jioni uweze kumuona na kumfuatilia maendeleo na mwenendo wake, bado anahitaji uangalizi joto na hata upendo na uwepo wa mzazi hii humjengea afya ya akili kitu ambacho ni muhimu sana kwa maisha yake ukubwani
Watoto wengi wenye tabia za ajabu walikosa ukatibu na malezi sahihi ya wazazi udogoni
 
Kuna wazazi wana roho ngumu mfano hakuna
 
Kuna mdau Kauliza juu ya mtoto kuamka asubuhi kanyolewa nywele, mjibu tafadhali, utatusaidia wengi, maana nami nimekumbwa na hilo kwa mwanangu
Mshana Jr tafadhali jibu issue hiyo. Ni muhimu kwani nina mtoto wangu alinyolewa nywele mpaka sasa ni miezi kama sita hazijaota. Ni sehemu ndogo kichwani iliyonyolewa siyo rahisi kwa mtu aliyembali kuiona hiyo sehemu. Nashukuru saana ukitia neno. Ahsanteni
 
Nimelazimika kukimbilia huku mara moja tuelimishane kuhusu hili
Kuna mdau kaweka Post ya kutafuta shule ya boarding kwa mwanae wa miaka mitatu
Sijui amepata masahibu gani ila nimeumizwa mno na hili jambo
Ni wazi tuna Changamoto za malezi na mahusiano lakini vyovyote viwavyo tusiwaache watoto wadogo kwenye uangalizi wa mlezi tena shule moja kwa moja
Unaweza ukampeleka day care ili jioni uweze kumuona na kumfuatilia maendeleo na mwenendo wake, bado anahitaji uangalizi joto na hata upendo na uwepo wa mzazi hii humjengea afya ya akili kitu ambacho ni muhimu sana kwa maisha yake ukubwani
Watoto wengi wenye tabia za ajabu walikosa ukatibu na malezi sahihi ya wazazi udogoni
Hii inauma sana!mwanangu ana 4yrs anaondoka asubuhi namfwata saa tisa basi wale watoto wanaobaki wanawaambia wezao wanaoondoka nataka twende wote kwenu na ni wimbo wa kila siku! Wanakosa mambo mengi sana simshauri mtu kumpeleka mtoto mdogo boarding mimi nilishasema hadi afike angalau kidato cha kwanza.
 
Mshana Jr tafadhali jibu issue hiyo. Ni muhimu kwani nina mtoto wangu alinyolewa nywele mpaka sasa ni miezi kama sita hazijaota. Ni sehemu ndogo kichwani iliyonyolewa siyo rahisi kwa mtu aliyembali kuiona hiyo sehemu. Nashukuru saana ukitia neno. Ahsanteni
Hizo hazitakaa ziote, ila Usiwe na hofu kwakuwa zilichukuliwa kwa mwanao kwenda kufanya kazi mahali pengine na hakuna madhara yatakayompata mwanao nitakuja na post kamili kuhusu hili next week
 
Wazazi walezi tuwe makini na hizi shule kwa ajili ya watoto dunia imevaa sketi unashindwa hata kujua mtoto mdogo wa miaka minne anawezaje kumtamani mtoto mwenzie wa kiume, mi binafsi sipendi shule za boarding kwa mtoto wa kiume yani sipendi hata kusikia make huko shule Ndio wanakojifunzia ushetani.

Nyumbani tujitahidi watoto wasione mambo ya kikubwa sio vizuri kuvaa, kuoga mbele ya mtoto kuna mdada mmoja mkubwa tu alikua ananishangaza sana anaingia bafuni kuoga na watoto wa kiume umri wa miaka 4 sijui hata akili yake ilikua inawaza nini.

Nyumbani pia sio vizuri kuwalaza watoto na watu baki au ndugu ndugu tu kwa story za huku mitandaoni mashoga wengi wanasimulia kuwa wamefundishwa na wajomba na ndugu zao, ni umasikini tu inatubidi kuwa mix ila vema kuchukua tahadhari usiwaamini ndugu wala mtu kwa mwanao
 
Je, unataka kumpeleka mwanao boarding school akiwa bado mdogo kabisa!? Ngoja nikuambie possible effects atakazopata mwanao.

Physically:
a) Afya yake itadorora sababu kuu vyakula vya boarding mostly si balanced diet. Na huwapa watoto junk foods zinazowafanya mabonge.

b) Atakuwa mzembe na legelege sababu boarding wanaishi kwa ratiba ambazo zinawaweka na masomo tuuu badala watoto wacheze ili misuli yao ikue.

c) Huduma za afya boarding piga huwa haziko bora kama nyumbani sababu care taker 1 anahudumia watoto wengi so attention si kama ya mzazi nyumbani.

d) Pia kama mtoto mwenyewe yuko under 5 years... Clinic nani atampeleka akiwa boarding?

e) Vyoo vile umevifikiria!? Mtoto miaka 3,4 anashare Choo na watu zaidi ya 50!

Socio-emotionally:
a) Atapoteza mapenzi na wewe (attachment loss) atakuja kuwa mtu wa masela huko mbeleni maana ndo watakuwa wanaijenga dunia yake.

b) Akishakuwa wa masela, tegemea kuwa na mtoto asiyetii.

c) Ataiga kufanya au kufanywa ujinga mwingi. Na hivi watoto wanaona kila kitu siku hizi. Akifika boarding anapewa "kaka". Mwishowe mwanao kaharibika.

Self-help skills:
a) Hataweza kufanya mengi maana wanafanyiwa na wahudumu.
Yako mengi sana..

Crazy idea ni kusema 'nitamweka chini ya mwalimu fulani maalumu'
Niseme tu, ukigeuza mgongo naye anaendelea na mambo yake.. Ukimpigia simu anakuambia anaendelea vizuri.. It's horrible..

Yako mengi bandugu...

Ngoja niishie hapa.
 
Ngoja nikupe baadhi ya hints za kuchunguza hiyo boarding unayompeleka mwanao.

1. Wachunguze wafanyakazi:
- Je, watoto wanawaogopa au wanawafurahia!?
- Tone yao ya sauti wanayotumia kuongea ikoje?
- Maneno wanayotamka say in case watoto wakiwaudhi ni sahihi na si matusi!?

Kama Kati ya hayo wanakosea hata moja watadhuru ukuaji wa self-esteem, confidence, curiosity na self concept ya mwanao.

Pia, Uliza qualifications zao kielimu na tazama mavazi yao.

- Aina ya adhabu wanazotoa watoto wakifanya makosa.
- Uliza falsafa ya jumla ya hiyo boarding school.

2. Kuhusu mazingira:
- Je, wana space salama na ya kutosha kucheza!?

- Wana vifaa vya kucheza -Ratiba ya siku iko vipi, watoto wanapewa muda mwingi kucheza!?

- Vyoo viko salama!? Viko saizi ya watoto na Idadi inatosha? Je watoto na wafanyakazi wanashea Vyoo!? (mbaya sana hii)

- Maji yapo masafi na salama? Uliza source ya maji.

- Cheki ratiba ya chakula weekly. Aina ya vyakula iwe salama na balanced. Uliza chakula chao wanakitoa wapi!? (isiwe mboga from bonde la msishani mfano).

- Ratiba inaonesha watoto wanalala mapema!?

- Huko vyumbani wanalalaje na wangapi kwenye kitanda? (Muhimu sana hii), usafi wa bweni, mwanga na hewa ya kutosha?

- Location ya shule pia inamatter sana. Isiwe imezungukwa na sehemu hatari za wahuni, zenye makelele weee mchana kutwa.

Wakuu..
Tuishie hapa kwa leo... Tutaendelea.
Tafadhali Fuatilia yote haya kwa usalama na ukuaji bora wa mwanao
 
Back
Top Bottom