Mh nipe muda hii ni serious issueHivi naomba mnisaidie wadau tiba ya hernia (ngiri) kwa mtoto wa kiume wa miezi 7.
Huyu mtoto amekuwa akivimba sehemu zake za siri,upande wa kulia. Uvimbe unajitokeza kwa muda mchache unapotea, na unajitokeza tena wkt mwingine
Ingawa mtoto amekuwa haoneshi h ali ya kupata maumivu yeyote.
Naomba mwenye utaalam wa hili anipe msaada
mshana jr
AsanteMh nipe muda hii ni serious issue
Nna rfk yangu mpaka aliweka ratiba ya chakula ila hg anawasha jiko la mkaa saa nane au tisa ndo apike cha kula cha mtoto cha mchana. so mtoto akisumbua ye anamdunga uji tu. Hata juzi mtt alikua ana dose ya malaria ila mchana ujiUnajua kuna wengine wanawapa hadi viporo vya uji
Halafu wakati mwingine mahg wanachangia.....unaweza kuwaza kufunga cctv
Akina mama wengi wanatamani sana hiyo yako. Ila kuna wanaozaa wako chuo au wana kazi zinabana. So akirudi nyumbani ndo anakua na mtt. Ila wanaoniudhi ni wale ambao hata akirudi hana nafasi na mttMimi nashukuru Mungu ka-baby kangu kwa miaka yake mitatu yote kanifaidi kwa 100%. Yani hakuna cha dada wa kazi wala mwalimu. Raha sana kwakweli maana kila nnachotaka ajifunze namfundisha mwenyewe na nisichotaka namkataza.
Nadhani nae ka-enjoy sana kuwa na mimi muda mwingi maana he is a very happy kid.
Sema huwa nakuwa dissapointed sana kuona watu wengine hawana hata muda kidogo na watoto wao.Unakuta mtoto na mzazi wake ni strangers, dada wa kazi ndo anaemjua na kumuelewa mtoto na mtoto kamzoea kuliko mama na baba yake.
Kwa baby mwenye kama 7 months Jee? Mi wanangu wanachelewa kuota meno pia.Maziwa ya ng'ombe hawanywi. Asubuhi chai au juice na vitafunwa vya kawaida vilivyozoeleka.
Eve nijuavyo ni kweli ukimkata mapema sana mtoto atapona fasta kuliko mtu mzima na ni hata pia kwa kidonda chochote mwilini mwake ila mwaka aisee katalia sana hadi na kupata homa na utakaonea huruma.Daktari alinambia hilo swala la kuwa kibamia sio kweli hasa hasa itamsaidia kupona haraka kuliko hadi awe mkubwa
Iko hivi govi husaidia kunenepesha na kurefusha uume lakini ukishaliondoa mapema ukuaji wa nanihii hudumaa kwa kiasi fulani hivyo kwakweli kwa faida ya mtoto ukubwani ni vema kuchelewa kidogo kwakuwa atakapochekwa wala mzazi hutajua itakuwa ni siri na maumivu yakeEve nijuavyo ni kweli ukimkata mapema sana mtoto atapona fasta kuliko mtu mzima na ni hata pia kwa kidonda chochote mwilini mwake ila mwaka aisee katalia sana hadi na kupata homa na utakaonea huruma.
Pia utadumaza dud*u lake baadaye aje kuwa na kabamia. I recommend kuanzia miaka 8 kuendelea.
Ni kweli mshana jr na hata sasahv bado makabila mengine (likiwepo letu) yanatahiri vijana porini wakiwa mostly 14-18 ages,na pia huko wanafunzwa ujasiri,adabu na heshima kwa kila mtu.Iko hivi govi husaidia kunenepesha na kurefusha uume lakini ukishaliondoa mapema ukuaji wa nanihii hudumaa kwa kiasi fulani hivyo kwakweli kwa faida ya mtoto ukubwani ni vema kuchelewa kidogo kwakuwa atakapochekwa wala mzazi hutajua itakuwa ni siri na maumivu yake
Zamani watoto walitahiriwa ukubwani porini tena bila ganzi....kuna ya kale bado ni dhahabu
Ngoja niwaze tena nione kama nitaahirisha, akifanyiwa hiyo shughuli nampeleka kwa mkubwa sitaki kumuona akilia na maumivu najua nitalia zaidi yake hapana kwakweliEve nijuavyo ni kweli ukimkata mapema sana mtoto atapona fasta kuliko mtu mzima na ni hata pia kwa kidonda chochote mwilini mwake ila mwaka aisee katalia sana hadi na kupata homa na utakaonea huruma.
Pia utadumaza dud*u lake baadaye aje kuwa na kabamia. I recommend kuanzia miaka 8 kuendelea.
Ngoja niwaze tena nione kama nitaahirisha, akifanyiwa hiyo shughuli nampeleka kwa mkubwa sitaki kumuona akilia na maumivu najua nitalia zaidi yake hapana kwakweli
Ndio mpendwa tena ilikua mwaka jana June akiwa na miezi 8 kuna mambo yakaingilia nikakwama teh nlimuambia Dr kwamba kitakua na kibamia akasema sio kweliShosti, kwani ulitaka kumtia sunna baby R saiv???
Alimvalisha pampas?, zina madhara pia, kuna mama mmoja alikumbwa na hilo la mwanae kuumwa sana ngiri, aliposhauriwa aache kumvalisha pampas tatizo likakomaMh nipe muda hii ni serious issue
Nimeambiwa hilo pia ni tatizo lakini vile vile eti hali ya hewa hii sijaikubali sana mwingine kaniambia utumbo kujikunja bado naendelea mpaka nipate kitu kinachoendana na uhalisiaAlimvalisha pampas?, zina madhara pia, kuna mama mmoja alikumbwa na hilo la mwanae kuumwa sana ngiri, aliposhauriwa aache kumvalisha pampas tatizo likakoma
Maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo si mazuri sana humletea mtoto gesi na kuvimbiwa
Akina mama wengi wanatamani sana hiyo yako. Ila kuna wanaozaa wako chuo au wana kazi zinabana. So akirudi nyumbani ndo anakua na mtt. Ila wanaoniudhi ni wale ambao hata akirudi hana nafasi na mtt
mshana jr mtoto akiwa na miezi mingapi anaweza pewa maji?Wazazi na walezi wengi hujisahau kuwapa watoto maji ya kunywa....ukiona mtoto analialia jaribu yafuatayo
-mgeuzegeuze huku ukimminyaminya kila sehemu inawezekana kuna mahali kaumia au amaumwa
-mpe maji
-pengine joto limezidi inabidi umpunguzie nguo au umuweke kwenye hewa
-njaa
-uchovu
-usingizi
Homa nk
Si mara zote mtoto akiwa na mabadiliko yoyote ukimbilie hospitali, ni vema kujiridhisha kwanza kama kuna uhitaji wa kwenda hospital
asante mshana jr . nikae kitako hapa nijifunze soon nakuwa mamaKwa uzoefu Wangu ni kuanzia miezi sita