Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

unaposafiri na mtoto wa miezi miwili kwenye gari kipi bora, kuwasha ac au kufungua madirisha:?
 
Mwanangu ana miezi mitano mchana halali na kama akilala dakika tano kaamka nifanyaje awe analala
 
Jee anakula na kushiba vizuri/kiasi.
Analala sehemu safi na tulivu, hamna wadudu kama nzi au mbu? Nguo anovishwa hazim disturb, labda kumbana sana?
Angalia mazingira yote nilokutajia hapo.
Na vizuri sana sana mtoto kumsomea au kumfanyia maombi kila asubuhi na jioni au usiku.
Niliwahi kuskia ati wtt wanozaliwa kwa c.section huwa hawalali vizuri ingawa nimeshindwa kuweka logic hapo.
Pia jaribu kumbadilishia sehemu ya kulala.
Wengine wata advise.
 
Swala la chakula nguo na sehemu anayolala Pana utulivu . Labda hilo la c section mmh
 
Habari wakuu... Mwanangu ana miezi 6 anasweat saaana, hata kama mvua inanyesha akila au akinywa anasweat mpaka naogopa. Je anaweza kuwa na tatizo?
 
Sidhani kama ni tatizo ila kwa ushauri waweza onana na daktari bingwa
 
Je mtoto humchukua miezi mingap kuanza kuota meno?

Je mtoto anatakiwa aongezekea kg kwa mwezi?

Je mtoto anapolalala muda mfupi na kustuka ana tatizo?

Je mtoto anatakiwa kuanza kupewa uji baada ya miezi mingapi?

Kweli kulea ni kazi ila kuna raha yake sometimes

Grow up my babygirl, Mungu anilindie hii roho yangu
 
Back
Top Bottom