Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
unaposafiri na mtoto wa miezi miwili kwenye gari kipi bora, kuwasha ac au kufungua madirisha:?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa mkuu kwa hiyo shida sio ule ubaridi ila shida ni upepo au?Kuna button ya kufanya AC iende nyuma kuliko kuzunguka kwenye gari
Asante aisee.. itaisha baada ya mda gani?Huyo bado yuko kwenye automation kama halii isikusumbue hiyo hali kwakuwa akiamka hatakawia kulala tena
Jee anakula na kushiba vizuri/kiasi.Mwanangu ana miezi mitano mchana halali na kama akilala dakika tano kaamka nifanyaje awe analala
Mwanangu ana miezi mitano mchana halali na kama akilala dakika tano kaamka nifanyaje awe analala
Swala la chakula nguo na sehemu anayolala Pana utulivu . Labda hilo la c section mmhJee anakula na kushiba vizuri/kiasi.
Analala sehemu safi na tulivu, hamna wadudu kama nzi au mbu? Nguo anovishwa hazim disturb, labda kumbana sana?
Angalia mazingira yote nilokutajia hapo.
Na vizuri sana sana mtoto kumsomea au kumfanyia maombi kila asubuhi na jioni au usiku.
Niliwahi kuskia ati wtt wanozaliwa kwa c.section huwa hawalali vizuri ingawa nimeshindwa kuweka logic hapo.
Pia jaribu kumbadilishia sehemu ya kulala.
Wengine wata advise.
Nina kababy boyKumbe una mtoto!!!! Nimechelewa
Nina kababy boy
Asante luq12Hongera
Sawa mkuuInategemea lakini pia usisahau kumpaka ndimu na kitunguu saumu kwenye paji la uso na tumboni
Inategemea lakini pia usisahau kumpaka ndimu na kitunguu saumu kwenye paji la uso na tumboni