Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??

Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!

Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
 
Subiri waje wajuaji wakusisitize utafte chako uachane na habari za urithi. Wanakuja sasahiv jiandane kisaikolojia tu
 
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??

Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!

Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Hapo ni kufuatilia sanasana ukisema usubiri wao wenyewe utashangaa miezi sita hii hapa..bongo kila kitu ni hadi ushikilie bango.
 
Back
Top Bottom