Subiri waje wajuaji wakusisitize utafte chako uachane na habari za urithi. Wanakuja sasahiv jiandane kisaikolojia tuIkiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Hapo ni kufuatilia sanasana ukisema usubiri wao wenyewe utashangaa miezi sita hii hapa..bongo kila kitu ni hadi ushikilie bango.Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Mali ya baba au mama ni mali yako.ipo wazi hiyoSubiri waje wajuaji wakusisitize utafte chako uachane na habari za urithi. Wanakuja sasahiv jiandane kisaikolojia tu
Mali ya babaaa, (ndio) itatutoa roho (yebaba) bora nikaeee! Peembeni.Mali ya baba au mama ni mali yako.ipo wazi hiyo